Hizo ngonjera zako haziwezi kulinusuru taifa lisipigwe faini kisa umelialia hapa jf, badilikeni muheshimu mikataba ya kimataifa
Utakuwa mjinga kuteswa eti ukiogopa kushitakiwa, ni bora ushitakiwe uwe huru kuliko kuheshim mikataba ya kinyonyaji.
Kumbuka kama una akiri timamu, huyohuyo Lisu aliwahi kusema huko nyuma,
Kama watapata uraisi wa nchi hii watavunja mikataba yote ya madini kwa kuwa ni ya kinyonyaji.
Kwa hiyo unadhani wangevunja kwa kutumia makalio?
Tumieni akiri na mropokaji wenu huyo anaye waona kama nyumbu msio jitambua kwenye mto wenye mamba.
Na ataendelea kuwatumia kama toilet paper tu.
Sina uhakika na vijana wa chadema kama wanatumia akiri au wenye elimu wanaitumia kwa maslahi ya nchi au hata uelewa kwa ujumla.
Pengine ni upumbavu na urofa au ni mahaba uasio na akiri.
Kwenye ishu nya madini nimemsikia Tundu akisema et raisi alisema walisema tutasitakiwa mbona hatujashitakiwa, baada ya hapo kuna watu alishabikia sana.
Siwezi kujuwa kama hao wote hawakuisikia kauli ya magufuri siku anapitishwa na chama chake kuwa mgombea. Tundu amekuwa anafanya tafasili ya maneno ya Raisi na kuyageuza anavyoona yanampa kiki. Raisi alisema hivi nanukuu.
Kwenye swara la madini. Wapo watu walisema hadhalani kuwa tutashitakiwa, tutanyooshwa, Nilisimama pamoja na wana Ccm wenzangu, nikasema ni bora kufa lakini umeifia nchi yako.
Mwisho wa kunukuu.
Sasa wewe na tundu lisu leteni sehemu aliyosema Magufuli kuwa walisema tutshitakiwa mbina hatujashitakiwa?
Hapo mdo mtajuwa wale mnaomshabikia tundu kawafanya mapunda na manyumbu msio jitambuwa pamoja na vielimu vyenu kisha mnashangilia.
Nani muongo kama sio.yeye?