Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

Halafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
Mku umesema nilichokuwa nakiwaza. Uenda Lissu anaomba huko kwa Wazungu kazi ya kuwatetea kwasababu yeye ni mwanasheria akidai kwamba anaifahamu vizuri Tz ataigalagaza. Labda hizo kesi zingine Lissu atashinda lakini kule ACCACIA alishindwa shida yeye hata mteja wake akishindwa kesi Lissu pesa harudishi. Ngoja tule pesa ya wazungu hakuna kuwaonea huruma.
 
Anyway, I think some people wanted Barrick to drag the government to the court of arbitration. It has never happened, the story is being twisted

..acacia dragged the govt' to the court of arbitration, while on the other side barrick was smoothering the govt'.

..hata serikali ilianza kutumika kwa kuwadanganya waTz kwamba barrick ni watu wazuri na wasafi, na acacia ndio wezi wetu.

..naamini serikali ilikuwa inatuandaa waTz kisaikolojia kuachana na madai ya usd 191, na tukubali kuwa usd 300 million ni ushindi mkubwa.

..timu iliyojadiliana na barrick ilihusisha pia wajumbe wa tume za uchunguzi. sasa nini kilipelekea kuachana na madai yetu ya awali na ku-compromise namna hii?

..Je, ripoti za tume za uchunguzi zilikuwa zina hitilafu? Je, kuna watu walihongwa? Je, kilichokubaliwa ni halali na nani atathibitisha hilo?
 
Unapelekwa mahakamani kama mtu kapoteza, sasa hayo makampuni yaende mahakamani kwani wamepoteza nini? Maana kama ni madini bado wanachimba na faida wanapata. Kwenda mahakamani ili kudai nini?
Kesi gani inayozungumziwa sasa?
 
Mku umesema nilichokuwa nakiwaza. Uenda Lissu anaomba huko kwa Wazungu kazi ya kuwatetea kwasababu yeye ni mwanasheria akidai kwamba anaifahamu vizuri Tz ataigalagaza. Labda hizo kesi zingine Lissu atashinda lakini kule ACCACIA alishindwa shida yeye hata mteja wake akishindwa kesi Lissu pesa harudishi. Ngoja tule pesa ya wazungu hakuna kuwaonea huruma.

..kesi za makampuni ya madini zinafunguliwa na kusikilizwa nje ya nchi.

..TL ni wakili wa kujitegemea wa hapa Tz, hana leseni ya kusimamia kesi nje ya nchi.

..kwa mfano, kesi ikifunguliwa Canada inabidi kampuni iwakilishwe na mawakili wenye leseni za kusimamia kesi ktk mahakama za Canada.

..habari kuwa TL alikuwa wakili wa acacia ni kutokufahamu vizuri historia ya TL na haya makampuni ya kigeni.

..TL alianza harakati za kupinga unyonyaji wa makampuni ya kigeni miaka ya mwisho ya 90. kulikuwa na kampuni inataka kuwadhulumu wavuvi wa eneo la Rufiji delta na TL ndiye mwanaharakati aliyesimama kidete upande wa wananchi mpaka wakaishinda kampuni hiyo.

..TL pia alitetea wachimbaji wadogo-wadogo ktk maeneo ya Bulyankhulu, Nzega, Geita, North Mara, etc. Kuna wakati serikali na jeshi la Polisi walimpiga marufuku kufika maeneo ya North Mara kwasababu TL alikuwa akiwatetea wananchi wakati serikali ilikuwa upande wa muwekezaji.

..Madai kuwa TL yuko upande wa acacia ilikuwa ni janja ya serikali na ccm wakiamini kwamba wakimchafua TL basi wao wataweza kuaminika zaidi. ukweli ni kwamba mikataba yote ya kinyonyaji ilisainiwa na watendaji wa serikali za ccm.

NB:

..Deo Mwanyika ambaye alipata kuwa ceo wa acacia na mtendaji wa ngazi za juu wa barrick ametia nia na kushinda kura za maoni za ubunge ktk chama cha mapinduzi.
 
Nimeangalia tena ile kesi ya Canada. Ilitolewa taarifa tuu kuwa imeachiwa bila maelezo ya kuwa imeachiwa vipi. Ingekuwa kesi ilikuwa dismissed tungeambiwa tena kwa sauti kubwa. Inaelekea palikuwa na settlement ikiambatana na makubaliano ya pande zote kutozungumzia suala hilo in public.

Amandla....
Hakukuwa na kesi; ndege ilishikiliwa kwa muda kusudi mahakama ione kama kuna grounds za kesi kwa vile iwapo ndege ingeondoka kabla ya mahakama kupitia maombi yake, kungekuwa na irrepairable damage. Baada ya mahakama kupitia maombi yake, wakaona kuwa kesi haikuwa na grounds, wakaiachia bila kuwa na session yoyote ya mahakama. Hakukuwa na upande wa ulalamikaji wala upande wa utetezi kwa vile haukukuwa na kesi; ndio maana moja ya kesi kuwa dismissed kwa kutokuwa na ground; siyo kuwa ilikuwa dismissed baada ya pande zote kusikilizwa bali ilikuwa dismissed bila kusikilizwa.
 
Inawezekana kweli ilikuwa hivyo lakini shaka yangu ni ukimya wa serikali kuhusu namna kesi hiyo ilivyotupitiliwa mbali ilipoonekana mkulima hana grounds. Hizi sababu ndio kwanza nazisikia kwako na sina sababu ya kutokukuamini. Lakini kweli tumshinde mbaya wetu na tusiwaambie watanzania kwa sauti kubwa kuwa tumemkata maini mbaya wetu?

Amandla...
 
Huyu mkulima ana kesi halali ya kudhulumiwa; lakini kosa lake huwa anaipeleka kwenye mahakama ambazo hazina jurisidiction ya kesi hiyo. Nadhani mawakili wake wanamchuna tu kujenga image mbaya ya serikali ya Tanzania badala ya kumsaidia kuongea na serikali vizuri kuhakikisha kuwa analipwa haki zake hizo. Zamani kidogo alikuwa na mwanasheria aliyemsaidia kulipwa kiasi fulani cha madai yake, lakini na yeye akamdhulumu mwanasheria huyo akajitoa; ikaishia kuwa kesi ya dhuluma juu ya dhuluma.

Mahakama haikupitia kuona kama kesi yake ilikuwa na merit, bali ilitupilia mabli kwa vile haikuwa na ground hata kama ina merit.
 
Nilishangaa kufika Serengeti na Ngorongoro watalii hawafiki hata ,20 niliokutana nao huku alisema ndege zimejaa booking hadi mwezi wa nane
 
Nilishangaa kufika Serengeti na Ngorongoro watalii hawafiki hata ,20 niliokutana nao huku alisema ndege zimejaa booking hadi mwezi wa nane
Ulitembelea camping sites na hotels zote?barabarani unakutana nao wachache tu,hiyo njia nimepita sana hata before Magufuli, halafu vivutio sio kwamba vipo serengeti na ngorongoro tu,kuna walioenda sehemu tofauti Mf Zanzibar as hobbies ni tofauti pia.
 
Nilishangaa kufika Serengeti na Ngorongoro watalii hawafiki hata ,20 niliokutana nao huku alisema ndege zimejaa booking hadi mwezi wa nane
Nina wasiwasi kama kweli umefika Serengeti na kuhesabu idaii ya wataliii. Hizo cheap politics ndizo nyepesi sana kudharauliwa mapema sana. je; ni kweli ulifika Serenegeti na sehemu zote za watalii uakawaita watalaii wote waliokuwepo ili uwahesabu. Unadhani kwenye mashirka ya ndege ya uhakika kam Eithiopian wanaweza kurusha ndege yao tupu kuja Tanzania kwa sabau za kisiasa bila kuwa na abiria wa kutosha?
 
Amka kesho twende tuwahesabu
 
Amka kesho twende tuwahesabu
Sina muda huo; ila njia rahisi ni kutafuta menifesto aya Ethiopian Airlines iliyowaleta ujue ilikuwa na watu wangapi wa kutoka sehemu zipi. Halafu siyo kila mtalii huwa anakwenda Serengeti; ndiyo maana unatakiwa uwe na sensa kamili ya mbuga na vivutio vyote siyo ya Serengeti tu. Kuna muda Serenegti huwa haina watalii sana kwa vile wanyama wengi huhamia Kenya.
 
Kwa hiyo anafurahi kushtakiwa kwa nchi yake?na amejuaje kama hahusiki?dah!!
@ZALEMDA , nahisi wewe ni mdada.
"Kuusimamisha uongo ili usiendelee kuleta madhara ni lazima ukweli usemwe"

Ukweli usiposemwa kuna hatari watu wakaendelea kuamini uongo.

Upande mwingine una wajibu wa kuthibitisha.
 
Nina wasiwasi kama kweli umefika Serengeti na kuhesabu idaii ya wataliii. Hizo cheap politics ndizo nyepesi sana kudharauliwa mapema sana. je; ni kweli ulifika Serenegeti na sehemu zote za watalii uakawaita watalaii wote waliokuwepo ili uwahesabu. Unadhani kwenye mashirka ya ndege ya uhakika kam Eithiopian wanaweza kurusha ndege yao tupu kuja Tanzania kwa sabau za kisiasa bila kuwa na abiria wa kutosha?
We jamaa sijui unawazaje! Nani amekwambia Ethiopian inajaza watalii pekee kwenye ndege yao?
Akili yako inakutuma kuwa kila anaekuja Tz ni mtalii. Hauhesabu wanaorudi nyumbani? Wanaokuja kibiashara? Maswala ya dini , serikali nk?
Ndege ikitua tu we unajua wanaoshuka wote ni watalii. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
matatizo yako unaonekana kuwa unachagua sana mambo ya kuchukua na kukataa. Leta hizo manifesto ya Ethiopian ndipo useme kuwa wanokuja siyo wataliii. Yaani na wewe unaamini kuwa kuna watanzania wengi sana wa kujaza (au kufikisha nusu) ndege moja ya Ethiopian kuifanya itue Kilimanjarao, Dar es Salaama na Zanzibar. Watanzania siyo wasafiri sana namna hiyo!
 
Back
Top Bottom