Yeye alisema acacia walikuwa sahihi kufanya wanachokifanya na tulikuwa tunatafuta matatizo kuwazuia kusafirisha makinikia. sasa ikawaje acacia wakakubali kutoa hizo usd 300m?..baada ya yale madai ya usd 191 billion acacia walifungua kesi dhidi ya serikali.
..kesi hiyo iliondolewa mahakamani baada ya serikali kusalimu amri kwa kukubali kishika uchumba cha usd 300 million, na barrick kukubali kuwanunua minority share holders.
OkayIle ya case ya Toronto ilikuwa dismissed kuwa haina grounds; ndiyo maana haikuchukua muda mrefu kama ile ya Geuteng
Nimependa conclusion ya logic ya juuAkiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Huyo naye yupo JF mwaka wa ishirini huu but hadi leo hana faida zaidi ya kuleta ushabiki mavi.. kubwa jinga.Kuna mazingira ya burden of proof kuwa kwa mtu flani.
Hizo ngonjera zako haziwezi kulinusuru taifa lisipigwe faini kisa umelialia hapa jf, badilikeni muheshimu mikataba ya kimataifa
Ile ya case ya Toronto ilikuwa dismissed kuwa haina grounds; ndiyo maana haikuchukua muda mrefu kama ile ya Geuteng
Kila anachosema Mh. Tundu Lissu ni ukweli mtupu ndo maana wahusika Serikalini ikiwa ni pamoja na Msemaji Mkuu wala Chamani ikiwa pamoja Katibu Mkuu hakuna anatepinga au kukanusha.Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa..
Hizo ngonjera zako haziwezi kulinusuru taifa lisipigwe faini kisa umelialia hapa jf, badilikeni muheshimu mikataba ya kimataifa
Sina uhakika na vijana wa chadema kama wanatumia akiri au wenye elimu wanaitumia kwa maslahi ya nchi au hata uelewa kwa ujumla.Tumeburuzwa kwa pilato
Ni rahisi tu, ana-declare interest full stop...Ikitokea tunampa nchi halafu kesi zinaendelea mahakamani kama wakili anayeziwakilisha anaenda tena kuibana Tz.
Aliwashauri serikali jinsi ya kuepukana na hizo kesi wao wakamwita msaliti, sidhani kama huko ndiyo kupenda nchi yako inyanyasike. Sasa kama haitoshi serikali inaleta sheria za ajabu na kulazimisha hata yale ambayo ni kinyume na katiba na hapo ndipo msaada wa nje husaidia kwani ni hao hao mabeberu ambao serikali huwasikiliza na sio wananchi wao wenyewe.TL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?
Inaonekana wewe huwajui wapiga kura vizuri, watu wanavote kwasababu za kijinga tu itakuwa hii?? Mimi shahidi 2015 watu kweny foleni haswa wanawake walikuwa wanaangalia alama ya vidole 2 tu na wala sio mgombea.Kwa hiyo wapiga kura watampa kura lissu kwa kusema tumeshitakiwa?
Mbona unahamisha mada? Kwani Lissu kaongelea ujenzi wa zahanati na sgr?Nimechoka kudanganywa bwashee. Wewe endelea kuambiwa zimejengwa zahanati 400 na SGR inajengwa kwa mapesa ya ndani.
ππππ anawatesa sana.Lisu yeye ndie mfukua hizo kesi na kuzipeleka huko mahakamani kupitia proxies msaliti huyo anafikiri hatujui?
Tupia ushahidi mkuuHizo ni kesi zilizochochewa na Lisu mwenyewe na Zito alafu anakuja kudai natishiwa kuuwawa.
mkuu tunaambiwa vimejengwa viwanda zaidi ya 4000, ushawahi viona? vinafanya kazi gani? vimeajiri vijana wangapi? vimejengwa wapi?Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!