Picha sawa na la yule mkulima baada ya kupiga tanch mwewe wetuNimeangalia tena ile kesi ya Canada. Ilitolewa taarifa tuu kuwa imeachiwa bila maelezo ya kuwa imeachiwa vipi. Ingekuwa kesi ilikuwa dismissed tungeambiwa tena kwa sauti kubwa. Inaelekea palikuwa na settlement ikiambatana na makubaliano ya pande zote kutozungumzia suala hilo in public.
Amandla....
Kwa akili yako ukitukana wana cdm ndiyo mgombea wenu atachaguliwa?Utakuwa mjinga kuteswa eti ukiogopa kushitakiwa, ni bora ushitakiwe uwe huru kuliko kuheshim mikataba ya kinyonyaji.
Kumbuka kama una akiri timamu, huyohuyo Lisu aliwahi kusema huko nyuma,
Kama watapata uraisi wa nchi hii watavunja mikataba yote ya madini kwa kuwa ni ya kinyonyaji.
Kwa hiyo unadhani wangevunja kwa kutumia makalio?
Tumieni akiri na mropokaji wenu huyo anaye waona kama nyumbu msio jitambua kwenye mto wenye mamba.
Na ataendelea kuwatumia kama toilet paper tu.
Sina uhakika na vijana wa chadema kama wanatumia akiri au wenye elimu wanaitumia kwa maslahi ya nchi au hata uelewa kwa ujumla.
Pengine ni upumbavu na urofa au ni mahaba uasio na akiri.
Kwenye ishu nya madini nimemsikia Tundu akisema et raisi alisema walisema tutasitakiwa mbona hatujashitakiwa, baada ya hapo kuna watu alishabikia sana.
Siwezi kujuwa kama hao wote hawakuisikia kauli ya magufuri siku anapitishwa na chama chake kuwa mgombea. Tundu amekuwa anafanya tafasili ya maneno ya Raisi na kuyageuza anavyoona yanampa kiki. Raisi alisema hivi nanukuu.
Kwenye swara la madini. Wapo watu walisema hadhalani kuwa tutashitakiwa, tutanyooshwa, Nilisimama pamoja na wana Ccm wenzangu, nikasema ni bora kufa lakini umeifia nchi yako.
Mwisho wa kunukuu.
Sasa wewe na tundu lisu leteni sehemu aliyosema Magufuli kuwa walisema tutshitakiwa mbina hatujashitakiwa?
Hapo mdo mtajuwa wale mnaomshabikia tundu kawafanya mapunda na manyumbu msio jitambuwa pamoja na vielimu vyenu kisha mnashangilia.
Nani muongo kama sio.yeye?
..he is not a violent person.
..pamoja na "jazba" zake umewahi kusikia amemdhuru mtu yeyote?
..ni mtu anayependa haki kwa wote, siyo kwake peke yake.
..pia ana msaada kwa wengine, kwa maana akisikia mtu anaonewa hawezi kukaa kimya.
..lakini la mwisho, hata akifanikiwa itakuwa ni kwa ushindi mwembamba, hiyo itakuwa ni BIMA/INSURANCE kwetu kwamba hatakuwa Raisi mwenye absolute powers.
Tulieni dawa iwangieni vizuri dadeeekiLisu yeye ndie mfukua hizo kesi na kuzipeleka huko mahakamani kupitia proxies msaliti huyo anafikiri hatujui?
Mkuu kumbe hata hili hulijui? Mchezo ya Barrick na mwanae Acacia uliuelewa mkuu?
Nape mwenyewe alisha onjeshwa shubiri na wasiyo julikana alafu leo ana unya unya tuUJUMBE WA NAPE NNAUYE; _ Kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwi fikiri mara mbili! Ni sawa na draft ukiona unaruhusiwa kula tu, kinachofuata inaweza kuwa majanga
Dawa yenu tayari ishakwiva jiandaeni kisaikolojiaMbona unahamisha mada? Kwani Lissu kaongelea ujenzi wa zahanati na sgr?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Picha la kutisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anawatesa sana.
Umechoka kweliKwa akili yako ukitukana wana cdm ndiyo mgombea wenu atachaguliwa?
Kwa taarifa yako safari hii watanzania wamesha amua kuwa ccm kwao ni adui yao.
Mjiandae kisaikolojia maana baada ya uchaguzi wa October mh Lissu anaapishwa kuwa rais wa awamu ya 6.View attachment 1535154
Huko kila wakienda wanapigwa za shingo wanarudi mikono mitupuIv kwaakili ako unaamin ccm kuna mawakili au ni mawakil tumbo hao hawawezi kuximamia kexi za huko nje
Kwa mujibu wa waziri wa biashara na viwanda Mwijage alisema ukiwa na vyerahani 3 basi wewe ni mwekezaji wa kiwandamkuu tunaambiwa vimejengwa viwanda zaidi ya 4000, ushawahi viona? vinafanya kazi gani? vimeajiri vijana wangapi? vimejengwa wapi?
Absolutely!Na kwakuwa yeye mh Lissu anawajua hao jamaa jinsi ya kucheza nao mahakamani
Kasema wapi anafurahi?? Sometimes tuwe tuna angalia kinachosemwa na faida au madhara yake... sio tu kum-implicate mtu kwa sababu humpendi... Na hapo nimeku implicate mimi bila wewe kusema haumpendi, kwa hiyo, sema haraka sana kwamba UNAMPENDA...Kwa hiyo anafurahi kushtakiwa kwa nchi yake?na amejuaje kama hahusiki?dah!!
I know you wish well for this country. Ila kumpa TL madaraka ya juu itakuwa ni kamari isiyolipa. Mrema hakukosa bure ya madaraka. Hata Russia, Yetsin hakumpa Putin madaraka sababu alimpenda sana. Kuna mambo hayana majaribio. TL kwa munkari alionao hafai kuwa the top most person in the country, that is my opinion
Kesi gani ambayo ipo sasa?
..hakuna kesi kwasababu serikali ilisalimu amri kwa barrick.
..serikali ilisema acacia/barrick wanadaiwa usd 191 billion.
..acacia akafungua kesi kupinga madai hayo.
..serikali ikaanza majadiliano na barrick ambao ni majority shareholders wa acacia.
..serikali ikakubali kuachana na madai yake na kukubali kulipwa "kishika uchumba" cha usd 300 million.
..sasa usd 191 billion vs 300 million, ni sawa na kudai usd 636 halafu ulipwe usd 1.
..hakuna BEBERU linaweza kukataa offer ya namna hiyo ikizingatiwa limeishakunyonya vya kutosha.
cc tindo, Nguruvi3, jmushi1
Kweli nimecheka kuwa chini ya ccmUmechoka kweli
Very well put kiongozi! Short yet clear!ππ½ππ½ππΎ..hakuna kesi kwasababu serikali ilisalimu amri kwa barrick.
..serikali ilisema acacia/barrick wanadaiwa usd 191 billion.
..acacia akafungua kesi kupinga madai hayo.
..serikali ikaanza majadiliano na barrick ambao ni majority shareholders wa acacia.
..serikali ikakubali kuachana na madai yake na kukubali kulipwa "kishika uchumba" cha usd 300 million.
..sasa usd 191 billion vs 300 million, ni sawa na kudai usd 636 halafu ulipwe usd 1.
..hakuna BEBERU linaweza kukataa offer ya namna hiyo ikizingatiwa limeishakunyonya vya kutosha.
cc tindo, Nguruvi3, jmushi1
Narudia kusema kuwa Lissu ni chaguo la watanzania woote.Hv kwa nini mnatujumuisha watanzania wote as if tulikaa kikao tukakubaliana? Semea nafsi yako usitusemee hatujakutuma
Anyway, I think some people wanted Barrick to drag the government to the court of arbitration. It has never happened, the story is being twisted