Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4
Hii tabia ya uropokaji wa Rais Magufuli kwa Sasa una mgharimu vibaya Sana!!!!
Tindulissu aache mambo yake kabisa.

Huduma za kijamii ni msingi Sana zile fedha walipewa waliweka kwenye huduma zaa kijamii zilizoharibika isingekua Rahisi kila mtu kupewa fedha.[/QUOTE]Hiyo argument yako ni hopeless.

Serikali ilistahili kujenga miundombinu iliyoharibika kutoka kwenye bajeti ya maafa.

Pesa waliuochanga wanaanchi kwaajili ya kuwapa pole wahanga, huwezi kujengea daraja au barabara. Ile ilikuwa ni pesa iliyostahili kuwafikia wahanga moja kwa moja.
 
Hoja ya nguvu!
 
Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.
Na wewe tumia akili kidogo, walikuwa wanahitaji chakula na malazi, hawakupewa walichokuwa wanahitaji kwa sababu tetemeko halikuletwa na serikali. Ila kwa wakati huo huo Serikali ilikuwa tayari kupokea misaada ya tetemeko ambalo halikuletwa na Serikali.
 
Unaacha kujenga shule na hospitali zilizobomoka unamjengea mtu nyumba! Hawa watu watauza nchi hawa!
Poor argument from a poor mind. Mivhango ya watu haijengi hospitali, shule wala barabara wala daraja.

Wakati wa maafa, miundombinu inajengwa kwa pesa ya maafa ambaye huwa kwenye bajeti ya Waziri Mkuu.

Kilichofanyika, ni wizi wa hali ya juu. Na ni dhuluma kwa wahanga wa tetemeko.

Pesa ilichangwa na wananchi kwa nia ya kuwanusuru na dharula za kimaisha baada ya maafa.
 
Kwanini?
Ila mmejipanga kupost thread si mchezo. Kumbukeni humu hata 0.1 ya wapigakura hawamo. Mnaumiza simu na mb zenu bure nyumbu.
Sisi tunaopost hatuishi mitaani? Hatuoni watu wanavyomchukia John? Hatusikii watu wanavyojiapiza kumpa John zawadi yake kwenye uchaguzi huu. Jiandaeni kisaikolojia tu
 
Aisee!

Bado sana, Lisu ni mtoto mdogo sana mbele ya CCM na Magufuli
Sio kweli mkuu ,mziki wa lissu ni tofauti Sana na lowassa ,2015 ,kwa Sasa lissu Kila anapopita iwe wilaya watu wanajaa Sana ,lowasa ilikua sehem chache chache, nyota ya lissu ni kubwa mno ,na kingine kumbuka lowassa alijiandaa Sana na urais kipindi chote wakati amejiuzuru ,lissu amekua nje kimatibabu Kama miaka mitatu lakini ndani ya miezi miwili tu utazani alikuepo nchini kwa miaka mitano , habari zake zinaenea kwa speed 10G ,huyu jamaa sio mtu wa kawaida Wenda Kuna nguvu alionayo ambayo hata yeye haijui,
Mungu hibariki tz
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
hiyo passport size na tai uliyoifunga kwenye profile huitendei haki kwa kuongea upuuzi kama huu,ndo naona mtu kala tai kumbe akili ni utopolo
 
Unaacha kujenga shule na hospitali zilizobomoka unamjengea mtu nyumba! Hawa watu watauza nchi hawa!
Hawa jamaa wa chadema wengi ni sifuri. Wana ushabiki wa kipuuzi mno kwenye mambo ya msingi. Umeona wapi serikali yoyote inajenga makazi ya watu baada ya maafa.

Ndio maana zimeletwa bima za makazi. Badala ya kuwaambia wanachama wao ukweli wao wanawaongopea na kujiona wajanja. Kumbe ni wapuuzi wakubwa.
 
Acha kubeza leta facts, kiongozi anazungumza ukweli ulio thabiti wewe unasema anaropoka ni aibu kubwa sana kwako. Jitafakari
Ndugu hao ndio wazalendo wa siku hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe uliona wapi serikali inachukua rambirambi kujenga miundombinu badala ya fungu la maafa ambalo linapitishwa na Bunge?
 
Jamaa kakamba hela za rambirambi.

Serikalini kuna mfuko wa maafa kwa waathirika wa tetemeko,Mzee Meko nazo kazilamba zote,kisha kaja kuongea utumbo mbele ya Wahaya
 
Lissu anapiga kwenye kidonda cha operation[emoji3][emoji3][emoji3]

Sijui Jiwe ana hali gani huko alipo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Kama namwona magu kesho akizirudisha zile ela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…