Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

N Nimefuatilia comments zako zimejaa ujinga mwingi sana.
 
Maisha bila busara ni hasara.
 

Unamgharimu sana kwa sababu aliamini kufikia uchaguzi hii 2020 upinzani utakuwa haupo lakini Sasa Mambo yamekuwa mambo
 
"TL amemtukana Rais", alisikika mwendawazimu mmoja hivi akizungumza.
 
Ukila sana vitu vinavyonuka lazima unuke.
 
Shabiki wa Lisu kawaona mazuzu kwl nyie
Yaaan ulitegemea rambi rambi zigawiwe kwa kila raia?
Hii itakuwa serikali kwl makn?
Miundo mbinu iloharibiwa ingetenenezwa kwa fedha zipi? Ili hali tetemeko ni janga la asili? Na nchi yeyote panapotokea mambo kama hayo huomba msaada kurudishia miundombinu ili kuwawezesha waathrika kupata huduma?
Serikali ingechota hazina fedha mngehoji pia kuwa BUNGE halikushirikishwa? Shame on you?
Lisu na Kutokujua afanyalo anawapigisha gwaride na kumuona et anajua sana kuliko watz wote 😂😂😂😂

Lisu ataiskiaa tu Ikulu kama wengineo
 
Naona ccm wanajiriwadha kwa kusema kwamba huo umati hawana kadi. Hahahahaha .halafu naona kama Huyo mdada ameshapita
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Mbona povu,? Wakati miaka ya nyuma tulikuwa tu naona watu wanapewa bati ,vifaa vya ujenzi kuezeka nyumba zao zilizopata maafa. Magufuri tu anapepo la kuumiza watu, na ndio furaha yake anapo ona una umia au unafedheheka. Mara ngapi anawafedhehesha wateule wake kwa kuwaita wajinga, wapumbavu
 

Na wewe una danganyika na mikutano ya TL maana sio note wanao kwenda kwenye majukwaa ya campaign wanejiandikisha na kupiga kura...mind you CCM inamtaji wa wanachama hai Tanzania nzima zaidi ya 15. M na wapiga kura waliojiandikisha ni 29 M na si kwamba wote hao watapiga kura na Mtaji wa CCM uko vijijini kwa Akina mama ambao sehemu kubwa katika hii miaka 5 amewatimizia agenda zao za maji hospital elimu bure ....campaign is all about strategy and not mafuriko kwenye campaign
 
Uliona wapi rais anaiba rambirambi?
 
Uliona wapi rais anaiba rambirambi?
Tuthibitishie hapa ameibaje hizo rambirambi na tuonyeshe ushahidi wa hicho unachokisema. Maana mmezoea kuwalisha matango pori watanzania kama kaka yenu Kigogo. Watanzania wamewashtukia sasa hivi na watamchagua Magufuli
 

Kutoka kwenye Push Up mpaka kwenye kupiga magoti😎 Lisu ni kiboko✌️
 
SADIST ni mtu ambaye hupata hisia za raha au ku enjoy kwa kusababisha au kuona wengine wakipata maumivu .
 
Tuthibitishie hapa ameibaje hizo rambirambi na tuonyeshe ushahidi wa hicho unachokisema. Maana mmezoea kuwalisha matango pori watanzania kama kaka yenu Kigogo. Watanzania wamewashtukia sasa hivi na watamchagua Magufuli
yeye mwenyewe alikiri kuingiza kwenye miradi mengine ambayo haijaidhinishwa kisheria ,hiyo ndo kula rambi rambi hana tofauti na steve nyerere ,halafu sijui hawa comedian wanapenda sana kula rambirambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…