sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kushikiri mazishi si lazima sana lkn mkono wa pole ni walazima sanaKwa hiyo ulitaka wajengewe nyumba zao halafu wasome vyumbani kwao? Si ndio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushikiri mazishi si lazima sana lkn mkono wa pole ni walazima sanaKwa hiyo ulitaka wajengewe nyumba zao halafu wasome vyumbani kwao? Si ndio?
Nimefuatilia comments zako zimejaa ujinga mwingi sana.1.rudisha kumbukumbu zako vizuri, pesa zilienda kuboresha majengo ya msingi na sio reli.
2.Watu kupoteza maisha ni jambo la kawaida kwenye maafa, na taratiu mbalimbali zilifuatwa kupewa heshima za mwisho.
3.Nyumba zilizovunjika zilikuwepo na watu walipewa vifaa mbalimbali kuweka sawa nyumba zao, hadi ikafikia wakati wengine wakaanza kubomoa nyumba zao ambazo hazikuharibiwa na janga la tetemeko.
3.kwanza fahamu maana halisi ya fidia, majanga ya asili huwa hayana fidia, halafu pili waathirika halali walipata fungu lililotokana na michango ya maafa ili kujiimarisha. Ila wadanganyifu wote hawakupata fungu hilo.
Maisha bila busara ni hasara.Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.
Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi kusipeleka kujenga reli na mabarabara akisema ati," SERIKALI YAKE YA CCM HAIKULETA TETEMEKO LA ARDHI".
View attachment 1580936
https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4
Hii tabia ya uropokaji wa Rais Magufuli kwa Sasa una mgharimu vibaya Sana!
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.
Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi kusipeleka kujenga reli na mabarabara akisema ati," SERIKALI YAKE YA CCM HAIKULETA TETEMEKO LA ARDHI".
View attachment 1580936
https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4
Hii tabia ya uropokaji wa Rais Magufuli kwa Sasa una mgharimu vibaya Sana!
Unamgharimu sana kwa sababu aliamini kufikia uchaguzi hii 2020 upinzani utakuwa haupo lakini Sasa Mambo yamekuwa mambo
Hha ha ha...kuondoka na hela za msiba yahitaji ujasiri mkubwa!!.
Mbona povu,? Wakati miaka ya nyuma tulikuwa tu naona watu wanapewa bati ,vifaa vya ujenzi kuezeka nyumba zao zilizopata maafa. Magufuri tu anapepo la kuumiza watu, na ndio furaha yake anapo ona una umia au unafedheheka. Mara ngapi anawafedhehesha wateule wake kwa kuwaita wajinga, wapumbavuYanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
mbona unapiga rungu hoja, weka hoja mezani, hoja hujibiwa kwa hojaN
Nimefuatilia comments zako zimejaa ujinga mwingi sana.
Kama kweli watu wameamua kukesha kwa sababu ya Lissu ni hatari. Jamani nataka niwaambie ukweli, J P M hajui uhalisia huu. Anadanganyika na watu wanaoenda kuwatazama wasanii, hawa wasanii wanapofanya mambo yao, huwa ni aghali sana, leo wanafanya mambo yao bure kwa nini watu wasikimbilie? Nyinyi CCM haki ya Mungu msipoliangalia vizuri hili tarehe 28 Octoba mnaenda kufa, nyie endeleeni kujifariji, uchaguzi huu upo tofauti na tulivyozoea.
Uliona wapi rais anaiba rambirambi?Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Tuthibitishie hapa ameibaje hizo rambirambi na tuonyeshe ushahidi wa hicho unachokisema. Maana mmezoea kuwalisha matango pori watanzania kama kaka yenu Kigogo. Watanzania wamewashtukia sasa hivi na watamchagua MagufuliUliona wapi rais anaiba rambirambi?
Kama bado ni Raisi sasa kwanini anagombea😎Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.
Endelea kulala ndoto hii uimalizeAisee!
Bado sana, Lisu ni mtoto mdogo sana mbele ya CCM na Magufuli
Taratibu za kisheria zinamruhusu bwashee.Kama bado ni Raisi sasa kwanini anagombea[emoji41]
yeye mwenyewe alikiri kuingiza kwenye miradi mengine ambayo haijaidhinishwa kisheria ,hiyo ndo kula rambi rambi hana tofauti na steve nyerere ,halafu sijui hawa comedian wanapenda sana kula rambirambiTuthibitishie hapa ameibaje hizo rambirambi na tuonyeshe ushahidi wa hicho unachokisema. Maana mmezoea kuwalisha matango pori watanzania kama kaka yenu Kigogo. Watanzania wamewashtukia sasa hivi na watamchagua Magufuli