Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period.Hakuna mahali nimesema tupo kwenye Campaign period??
Una matatizo gani??
Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period
Mimi ndiyo nimekujibu kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi alikuwa kwenye 'Campaign period' hilo ndiyo Jibu la swali ulilouliza.
Umejibu vyema, Kama kafanya hivyo katika campaign period Kama unavyosema Basi Hana kosa kwa mujibu wa kifungu Cha 21 Cha Sheria ya Uchaguzi,2010 inayozungumzia election campaign au election .Wewe umeulizwa swali halo swali kwamba Rais amefanya hayo yanayolalamikiwa akiwa kwenye election, NOMINATION au kwenye Campaign period
Mimi ndiyo nimekujibu kwa mujibu wa sheria ya Gharama za Uchaguzi alikuwa kwenye 'Campaign period' hilo ndiyo Jibu la swali ulilouliza.
Campaign period, ambacho ni kipindi cha baada ya nomination na kabla ya UchaguziCampaign gani hizo?
Yule mwamba wakat mwingine dah yetu machoHahaaa
Na haki za wale wa jinsia moja ataendelea kuzitetea kwa niaba ya mabeberu
Anakosa kwa sababu kutoa hizo hela kipindi cha 'campaign period' hakiruhusiwi hicho kifungu cha 21 kinasomwa pamoja na sehemu ya tafsiri ya neno 'campaign period'Umejibu vyema, Kama kafanya hivyo katika campaign period Kama unavyosema Basi Hana kosa kwa mujibu wa kifungu Cha 21 Cha Sheria ya Uchaguzi,2010.
Amekwisha pitishwa na chama chake.Kwani JPM ameshateuliwa kuwa mgombea hata kabla ya kujaza fomu nimesikia kesho ndio anachukua fomu na hawezi kuwa mgombea mpaka apitishwe na NEC hata yeye Lisu bado hajawa mgombea kuweka pingamizi
Ni kweli bado wagombea kadhaa hawajapitishwa na NEC.Bado NEC haijampitisha....nimeelewa.
Aliyetoa Rushwa kununua jogoo kibiti atapewa fomuNEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
Mahakamaccm wanahahaHahaha atafungwa tu ukipatikana na hatia
Ya Malawi yanaenda kutokea TanzaniaUkombozi umewadia JPM ajiandae kisaikolojia kukabidhi madaraka kwa Amani.
CIA FBI Scotland Yard na wapelelezi wa mahakama ya The Hague wapo Tanzania kimya kimya wanaendelea kuzichunguza kila unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani.Endeleeni tu na ujinga wenu. Tunakusanya ushahidi wote mwaka huu. Mawakili wa Amsterdam hawako mbali sana na mahakama ya ICC. Lolote mtakalofanya mwaka huu mjue tu mwisho wenu ni aibu tu .
Mara baada ya mgombea kuwa nominated na chama chake ndipo The Election Expenses Act inapo-apply.Rais ndio amekuwa nominated na CCM kugombea nafasi ya Urais.
Ila Bado hatupo kwenye Campaign process ambapo ndipo vyama huuza sera baada ya wagombea wake kuidhinishwa na NEC...
Mtukufu amewahi kugawa mpaka milion 10 kwa mkuu wa wilaya ya Godwin Gondwe wananchi mbalimbali, kakiuka katiba siku nyingi kwa kuanza kampeni mda mrefu miaka Mingi na juzi kibiti katoa rushwa live kwa ununuzi wa jogoo kwa laki moja kaanza kampeni kabla ya wakati.Kama juzi ile laki ni rushwa basi magu kaanza kutoa rushwa Toka 2015
Hiyo ni tafsiri yako potofu.Anakosa kwa sababu kutoa hizo hela kipindi cha 'campaign period' hakiruhusiwi hicho kifungu cha 21 kinasomwa pamoja na sehemu ya tafsiri ya neno 'campaign period'
Vilaza mpo wengi Sana.Mara baada ya mgombea kuwa nominated na chama chake ndipo The Election Expenses Act inapo-apply.
Hatupo kwenye kampeni lakini kumbuka kuwa tumetoka kwenye Nomination Process. NEC inaidhinisha wagombea baada ya Nomination katika vyama vyao...
Wengi huwa hawasomi hizi sheria kwa makini kabla ya kuzijadili.Alikuwa kwenye 'campaign period' kwa sababu ukienda kwenye huyo sheria,kule kwenye interpretation section imetafsiri maana yake ni
Election Expenses...
Karma never loses an addressMlifanya kosa kubwa sana kushambulia Lissu kwa zile SILAHA ZA KIVITA, kuna siku mtawajibika tu kwa huo UHALIFU WA KIVITA.
Wewe unajichanganyaHiyo ni tafsiri yako potofu.
Kifungu Cha 21 kinasema, Nomination process , election campaign or election...