Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Endeleeni tu na ujinga wenu. Tunakusanya ushahidi wote mwaka huu. Mawakili wa Amsterdam hawako mbali sana na mahakama ya ICC. Lolote mtakalofanya mwaka huu mjue tu mwisho wenu ni aibu tu .
Mkuu acha kuweweseka,mwaka huu mnapenda kushitaki wapi? Uchaguzi wa mwaka 2015 mlikimbilia CCJ mwaka huu MNA mawakli wa Amsterdam, hivi ni vituko.

Kila Mara twawambieni huyu lissu hafai anawapotosheni ninyi hapana kuelewa.

Lissu hafai anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda amani naaendeleo.
 
Kosa kubwa walilofanya wanyanyembe ni kumpitisha Lissu kuwa mgombea. Mwaka huu wataingia kwenye kinyang'anyiro bila mgombea urais.
 
Malizia posho zako za Lumumba. Watu wameandika barua kwa wakuu wenu wa vyombo kopi kwa katibu mkuu UN unasema wanafanya masikhara. Subirini muone
 
Malizia posho zako za Lumumba. Watu wameandika barua kwa wakuu wenu wa vyombo kopi kwa katibu mkuu UN unasema wanafanya masikhara. Subirini muone
Mkuu hivi ni vituko,tangu mumshambulie mgombea wenu pale Dodoma naona kama akili zenu zimewaruka hivi,hamuishiwi ndoto,Mara Amsterdam Mara katibu mkuu UN, huyu katibu mkuu wa UN anaona ya Tanzania tu na ashindwe kuyaona ya Libya, Syria, Iraq nk.

Ndo maana tunasema akili zenu zote ni za kuambiwa,jiongezeni basi,
 
Kwani alivyoshughulikiwa Lauren Ghabgo Ivory Coast hakukuwa na hayo ya Libya?
 
Kwani alivyoshughulikiwa Lauren Ghabgo Ivory Coast hakukuwa na hayo ya Libya???
Mkuu mimi nakuona kama mtu uliyepoteza matumaini unawaya ways,n a wala.hujui kipi usimamie,Mara ICc,Mara UN na.mwisho mawkili wa Amsterdam kipi ni kipi?
 
Mkuu mimi nakuona kama mtu uliyepoteza matumaini unawaya ways,n a wala.hujui kipi aNusimamie,Mara ICc,Mara UN na.mwisho mawkili wa Amsterdam kipi ni kipi?
Labda tuanzie hapa unajua kiingereza?? Na jekama unajua ulisoma ile barua ya mawakili wa Amsterdam??? Kama ulisoma uliielewa???
 
Kiongozi lopolopo kama tundu lisu hafai kuongoza URT
 
Mzee magu tunamkubali sana, yupo vema sana especially anavyopambana kuimarisha miradi ya maendeleo. Shida ni kwamba anabana sana hela kiasi kwamba watu tunaitafuta pesa kwa shida sana.

Sasa kwa kifupi ni kama maisha yetu awamu hii yalitolewa kafara. Kijana anakaa miaka mitano yote anatoka mtupu, hajaoa, hajaweza kumudu kupanga au kujenga makazi na kadhalika.
 
Kwenye sifa za mgombea zimeainisha aina ya makosa yayomfanya apoteze sifa ya kugombea siyo makosa yote istoshe yeye ni mtuhumiwa tu katika hizo kesi zote sasa hawezi kunyimwa haki ya kugombea sababu ni mtuhumiwa tu.
Hawa jamaa hawaelewi kitu. Waache wajitekenye.
 
Sasa kama mnamkubali unalia lia nini? Subiri 28 oct, muongezeeni mitano mingine msome namba vizuri.
 
Japo kila nafsi itaonja mauti,kuna nafsi zingine inabidi ziwahishwe kwa manufaa mapana ya taifa
Hahahah Hatari sana alizoea kusikika mtu mmoja tu nchi nzima kwa miaka kadhaa iliyopita sasa hivi chuma kinakohoa bwn yule hasikiki tena wala hatusikii story za sgr.
 
Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais...
Hana lolote, anaonekana kachanganyikiwa tu. Hana sifa za kuwa Rais wa nchi hii ni kiongozi asiye na maadili kabisa sijui kasomea sheria ya wapi ambayo anashindwa kuitumia ili imsaidie kuheshimu taratibu na viongozi wa taifa letu.

Ni kiongozi ambaye anashindwa kuheshimu taasisi za taifa letu. Kama alisomea sheria mimi nadhani alikuwa anakalili vifungu tu. Haielewi sheria ila imeikalili. Angelikua anailewa sheria angeitumia sheria maishani mwake na kuifuta.

Amekariri sheria ili abishane na viongozi na taasisi za serikali. Ni falisayo tu, ni sawa na wale walimu wa sheria wa kwenye biblia walio kalili vifungu ili waonekani wanajua vifungu vya biblia.

Ni kiongozi gani mkalili vifungu vya sheria asivyo vielewa, anavunja sheria za Taifa letu huku vifungu amevikalili.

Sisi Wananchi wa taifa hili hatamhitaji kwanza ana shirikiana na mabeberu hana chochote cha kuifanyia nchi yetu zaidi ya kwenda kuwalipa mabeberu wake rasilimali zetu kama fidia.
 
Hayo yamesemwa na Mwanasharia nguli duniani na mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzani kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu!

Tundu Lissu amesema kitendo cha Rais Magufuli kupewa jogoo huko Kilwa na kulipa shilingi laki moja ni kitendo cha utoaji wa rushwa kwa wapiga kura kwani bei ya jogoo inajulikani ni shilingi elfu kumi tu.

Pamoja na malipo hayo makubwa kwa jogoo, Lissu amesema hata ile milioni tano aliyotoa Rais Magufuli kwa ajili ya shule pia ni rushwa kwani matendo hayo yamefanyika wakati rais Magufuli akijua yeye ni Mugombea!

Kwa kuwa vitendo hivyo vinakatazwa na sheria za Uchaguzi, Lissu anakusidia kumuwekea pingamizi Rais Magufuli asiteuliwe n Tume ya Uchaguzi kupeperusha bendera ya CCM.

Ushauri wa bure kwa CCM wabadili gia haraka, kwani kuna uwezekano mkubwa Rais Magufuli asiteuliwe na Tume kwa makosa aliyofanya ya kukiuka sheria za Uchaguzi!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…