digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu acha kuweweseka,mwaka huu mnapenda kushitaki wapi? Uchaguzi wa mwaka 2015 mlikimbilia CCJ mwaka huu MNA mawakli wa Amsterdam, hivi ni vituko.Endeleeni tu na ujinga wenu. Tunakusanya ushahidi wote mwaka huu. Mawakili wa Amsterdam hawako mbali sana na mahakama ya ICC. Lolote mtakalofanya mwaka huu mjue tu mwisho wenu ni aibu tu .
Kila Mara twawambieni huyu lissu hafai anawapotosheni ninyi hapana kuelewa.
Lissu hafai anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda amani naaendeleo.