Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ofcourse MAGUFULI ANATUMIA KUFANYA KAMPENI KILA SIKU KUZINDUA NA KUUNGUMZA MAMBO YASIYOHUSIKA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sababu hazipo kwenye sharia yoyote ile ww ni muongo na hujui sheriaNEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
Wazungu ndio wafadhili wetu mkuu aka wahisani,Mnawezaje kumwambia Dr mihogo mzizi ata kama ni mzizi MIchadema haina akili ...ukitaka kujua hilo angalia wanavomshangilia chizi kichaa Lissu, utakuta wanaongea ati wazungu wazungu yani wao wazungu wamewaona ni Miungu michadema ni mzigo wa polo la kinyesi.
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.Chizi huyu, kwani tume ya uchaguzi imeshampitisha? Muda wabkampeni umeshaanza? Je ni mara ya kwanza kutoa hiyo 5m?
Tukisema huyu ni kilaza wa sheria au moshi wa risasi haujaisha kichwàni hamtuelewi.
Hii nimecheka sanaChizi wa CCM anahitaji chizi mwenzie kama huyu ili kupata ushindani sawa.
"Uliona wapi mtoto anamtafutia hawara mama yake kisa kapewa jogoo" by Mh. Bwege.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kifungu gani hicho??Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.
Hahahaha. Tuombee Brigedia jenerali siku iyo aamke na akili ya kung’ataaaaaaKwahiyo ikithibitika ya Kibiti ni rushwa, takukuru wanampiga pingu Jiwe?😀😀. Nacheka ila naogopa
Endeleeni kujipa moyo tu CCM ila mjue ni rasmi. Mnaenda kuwa chama pinzani baada ya October 2020Ni upumbavu wa hali ya juu kabisa kushupaa shingo eti TL atashinda Urais, wakati Hata nusu ya kura za Lowasa hatafikisha. Ushauri Wangu kwa CDM na vyama vingine vya upinzani waweke nguvu nyingi kwenye kupata wabunge na madiwani angalau wawe na ratio ya 60:40 kitu ambacho kitawafanya kufight kupitia bungeni na kwenye Council. Kushupaa eti utashinda Urais wakati hata kupata tu wabunge 50 ni ngumu ni upunguwani.
Siyo lazima CCM kulijua hilo kama mtashindwa. Ninachoshauri ni kwa serikali kutumia busara kutowaruhusu polisi kuchukua hatua pale pasipohitajika lazima watumie busara.Endeleeni kujipa moyo tu CCM ila mjue ni rasmi. Mnaenda kuwa chama pinzani baada ya October 2020
Kifungu ukichokitaja kinaleza kabisa kutoa pesa,zawadi,ajira,au upendeleo wowote ule ni makosa aidha iwe kipindi cha nomination process, election au campaign periodKifungu gani hicho??
Soma kifungu cha 21 cha Sheria za Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 halafu urudi.
Haya ndio niliyo yasema, wazee wa kukariri sheria mpaka zinawapumbazaHayo yamesemwa na Mwanasharia nguli duniani na mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzani kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu!...
Sasa wakati Rais anafanya hayo yanayolalamikiwa hapa ni katika kipindi kipi Kati ya ulivyotaja.Kifungu ukichokitaja kinaleza kabisa kutoa pesa,zawadi,ajira,au upendeleo wowote ule ni makosa aidha iwe kipindi cha nomination process, election au campaign period
Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais...