Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Chizi huyu, kwani tume ya uchaguzi imeshampitisha? Muda wabkampeni umeshaanza? Je, ni mara ya kwanza kutoa hiyo 5m?

Tukisema huyu ni kilaza wa sheria au moshi wa risasi haujaisha kichwàni hamtuelewi.
 
Hapa nafikiria sana kwanini lisu ashaanza kujihisi kunyimwa fomu? kama yuko clean why anaanza kutengeneza picha ya kunyimwa fomu na inajulikana huyu ni mwanasheria sasa kama anazijua sheria hofu yake ni nn?

Atulie mpk siku iyo atakayoenda kuchukua !
 
Wazungu ndio wafadhili wetu mkuu aka wahisani,
Kama ni uchizi na ww ni chizi vilevile
 
Chizi huyu, kwani tume ya uchaguzi imeshampitisha? Muda wabkampeni umeshaanza? Je ni mara ya kwanza kutoa hiyo 5m?

Tukisema huyu ni kilaza wa sheria au moshi wa risasi haujaisha kichwàni hamtuelewi.
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.
 
Huu uchaguzi tutapima nguvu za Goliath Magufuli na Daudi ( Lissu )
 
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.
Kifungu gani hicho??

Soma kifungu cha 21 cha Sheria za Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 halafu urudi.
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kabisa kushupaa shingo eti TL atashinda Urais, wakati Hata nusu ya kura za Lowasa hatafikisha. Ushauri Wangu kwa CDM na vyama vingine vya upinzani waweke nguvu nyingi kwenye kupata wabunge na madiwani angalau wawe na ratio ya 60:40 kitu ambacho kitawafanya kufight kupitia bungeni na kwenye Council. Kushupaa eti utashinda Urais wakati hata kupata tu wabunge 50 ni ngumu ni upunguwani.
 
Endeleeni kujipa moyo tu CCM ila mjue ni rasmi. Mnaenda kuwa chama pinzani baada ya October 2020
 
Endeleeni kujipa moyo tu CCM ila mjue ni rasmi. Mnaenda kuwa chama pinzani baada ya October 2020
Siyo lazima CCM kulijua hilo kama mtashindwa. Ninachoshauri ni kwa serikali kutumia busara kutowaruhusu polisi kuchukua hatua pale pasipohitajika lazima watumie busara.

Chadema wanajua kabisa hawawezi kushinda na huo muungano ndo utawavuruga kabisa. Sasa hivi wanatengeneza mazingira ya kisingizio. Sioni namna yeyote kama mtawashinda hao ccm
 
Kifungu gani hicho??

Soma kifungu cha 21 cha Sheria za Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 halafu urudi.
Kifungu ukichokitaja kinaleza kabisa kutoa pesa,zawadi,ajira,au upendeleo wowote ule ni makosa aidha iwe kipindi cha nomination process, election au campaign period
 
Kifungu ukichokitaja kinaleza kabisa kutoa pesa,zawadi,ajira,au upendeleo wowote ule ni makosa aidha iwe kipindi cha nomination process, election au campaign period
Sasa wakati Rais anafanya hayo yanayolalamikiwa hapa ni katika kipindi kipi Kati ya ulivyotaja.

1. Nomination.

2. Election

Au

3. Campaign period??
 
Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais...
unajua CCM wanadhani kwamba wapo juu ya sheria kwa kila kitu. Safari hii mgombea wao hachomoi kwa kuwa alitoa rushwa hadharani kila jicho la mtanzania likimshuhudia. Ushahidi wa kutosha upo. Hata mimi nipo tayari kwenda kutoa ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…