Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Unayoyasema umesimliwa au umeota? Hayo unayoyasema hayapo. Mgombea yeyote aliyepitishwa na chama ni lazima NEC impe form. Haina uwezo wala mamlaka ya kuzuia...
Ikithibitika umewahi kufungwa au kukwepa kodi hata kama ulijaza Hujawahi wanakufanyaje?
Hii mitego sana. Trick sana
 
Japo kila nafsi itaonja mauti,kuna nafsi zingine inabidi ziwahishwe kwa manufaa mapana ya taifa
 
Sasa mbona anakiri kanakwamba hata magu na si yeye pekee anaweza kuwekewa pingamizi?
 
Japo kila nafsi itaonja mauti,kuna nafsi zingine inabidi ziwahishwe kwa manufaa mapana ya taifa
Endeleeni tu na ujinga wenu. Tunakusanya ushahidi wote mwaka huu. Mawakili wa Amsterdam hawako mbali sana na mahakama ya ICC. Lolote mtakalofanya mwaka huu mjue tu mwisho wenu ni aibu tu .
 
Back
Top Bottom