Wewe unajichanganya
Swali ulilouliza lilikuwa ni je wakati Rais Magufuli anafanya mambo yanayolalamikiwa alikuwa kwenye election, nomination au campaign period hilo ndilo swali ulilouliza mwanzoni...
Hakuna mahali niliposema hilo neno "Campaign Process". Hakuna!
Nilichokisema mimi ni "Campaign Period". Soma hiyo sheria, Usikurupuke!
Kama kuna kitu kigumu na hujakielewa katika hiyo sheria uliza na utapatiwa majibu sahihi.
Nimekuuliza nini maana ya Nomination Process, umelikimbia swali!
Acha nikusaidie;
Soma hicho kifungu cha 21 (a) cha sheria hiyo kwa makini. Utakiona hicho nilichokisema hapo awali [Campaign Period].
Sheria inasema hapo kuwa kosa la rushwa linaweza kufanyika kabla au baada ya Campaign Period (before or during the Campaign Period).
Nilikuuliza kuhusu Nomination Process:
Nomination Process ni uteuzi wa wagombea ndani ya vyama kabla ya Campaign Period. Baada ya Nomination kufanyika ndipo kinapoanza kipindi cha Campaign Period hadi wakati wa kuanza kwa Uchaguzi.
Rudi katika kifungu cha 3 cha sheria hiyo kisha soma kwa makini kuhusu haya mambo matatu: Nomination Process, Nomination pamoja na Campaign Period.
Kama kuna jambo linalokutatiza hapo uliza na utajibiwa!