Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.

"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"

"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"

"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna namna nyingine"


Tundu Lissu
Mbopo, Kawe.
 
Ila kweli Mama katukosea sana ...adabu na heshima kwa tamaa au pressure mtandao maslahi
 
Hakuna lisilowezekana
Hakuna lisiloweza kubatirishika
Ikithibitika kuna uongo,Rushwa,Undue influence na fraudulent practices..

Tunaweza vunja mkataba,tunaweza Epuka kusaini mikataba kitita..

Kwa sasa yamkini Serikali ildanganywa,ama washauri wali hongwa..Lobbyists walitumika Kwa tamaa..

URT ni nchi yenye haki zake nyingi sana..Na Mianya ya kurekebisha kasoro/makosa/Mapungufu yapo..

Kama ilivyoshauriwa na wanazuoni,wasomi waandamizi hata Bunge Lina mamlaka ya kufuta azimio la ku ratify mkataba au MOU husika..

Tusitishwe kujikwaa sio kuanguka..Viongozi wetu mnayo nafasi ya kurekebisha makosa..Changamoto Kwa faida ya vizazi vya sasa na baadae..
 
Kama kawsida najisikia kumtag mama kipenzi FaizaFoxy aendelee kutuelimisha hapa.

Huu mziki una chorus nyingi mno
 
Hili balaa kubwa
 
Kiki pekee ambayo chadomo wamebaki nayo with no agenda
 
Many of us we are born simply in order to live, but very few people are born so the rest we can live, move forward, etc.

This fact could be the reason why Tundu Lissu is still alive today or why Nelson Mandele could stay in jail for 27 years.
 
Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.

Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.

Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.

She is an empty suit.
Hilo siyo tatizo kabisa, unafikiri hata mwendazake alikuwa anaelewa?

Si ndiyo maana wapo makatibu wakuu na wasaidizi kibao wa mambo ya sheria Ikulu. Au wote ni maboya?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na bado!

Si anaupiga mwingi na kuwaponya majeraha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…