Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hana umaana wowote, lakini ni Bora mara mia kuliko dhalimu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wa maana ni huyu aliekuuza kwa mwarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana umaana wowote, lakini ni Bora mara mia kuliko dhalimu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wa maana ni huyu aliekuuza kwa mwarabu
Mbona unarudia sana ishu ya Lissu kupigwa risasi? Ina uhusiano gani na mkataba wa Bandari.Hivi hilo tundu linausoma mkataba upi wa mauzo ya bandari?
Huyo naona sumu ya shaba imemuingia kichwani. Maana kile kichapo kilikuwa si mchezo, lazima vichenga chenga vya shanba vipo mwilini.
Hivi wadunguaji wake bado hawajajulikana paka leo?
Umepiga kwenye mshono...Inaonekana unatamani sana Lissu afe ili tu Samia asisemwe.
Kwenu wapi ?bandari inauzwa au inakodishwa?
Mkataba unasema hata Yesu akirudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba, nini hamuelewi?! Huyu mama atupishe tuu..!!!Hakuna lisilowezekana
Hakuna lisiloweza kubatirishika
Ikithibitika kuna uongo,Rushwa,Undue influence na fraudulent practices..
Tunaweza vunja mkataba,tunaweza Epuka kusaini mikataba kitita..
Kwa sasa yamkini Serikali ildanganywa,ama washauri wali hongwa..Lobbyists walitumika Kwa tamaa..
URT ni nchi yenye haki zake nyingi sana..Na Mianya ya kurekebisha kasoro/makosa/Mapungufu yapo..
Kama ilivyoshauriwa na wanazuoni,wasomi waandamizi hata Bunge Lina mamlaka ya kufuta azimio la ku ratify mkataba au MOU husika..
Tusitishwe kujikwaa sio kuanguka..Viongozi wetu mnayo nafasi ya kurekebisha makosa..Changamoto Kwa faida ya vizazi vya sasa na baadae..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mamako ni bora kuliko dhalimu wako ndio!Hana umaana wowote, lakini ni Bora mara mia kuliko dhalimu.
There you go with the whataboutism.Hilo siyo tatizo kabisa, unafikiri hata mwendazake alikuwa anaelewa?
Si ndiyo maana wapo makatibu wakuu na wasaidizi kibao wa mambo ya sheria Ikulu. Au wote ni maboya?
Licha ya yote yaliyoandikwa kuhusu mapungufu, yeye bado anashangaa ni mkataba upi wenye mapungufu!Huwa huna akili wewe
Huyo rais unayemwongelea hapa usidhani yeye ni 'robot' tu la kuwa'programmed' na hao unaowaita washauri.Mara nyingi, watu waovu, wapuuzi, wazembe na wajinga wametumia mwavuli wa Rais au collective responsibility serikalini kusababisha matatizo kwa raia na hasara kwa taifa kwa ujumla.
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.
"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"
"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"
"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna namna nyingine"
View attachment 2676581
Tundu Lissu
Mbopo, Kawe.
Hakuna mkataba..mna matatizo gani!?Licha ya yote yaliyoandikwa kuhusu mapungufu, yeye bado anashangaa ni mkataba upi wenye mapungufu!
Mtu mwenye akili ya namna hiyo unadhani kichwani mwake zimo za kutosha?
Rais unaingia mzima mzima kwenye mkataba? Huweki hata kivuli ili yakikushinda mbeleni unatosa watu?Hilo siyo tatizo kabisa, unafikiri hata mwendazake alikuwa anaelewa?
Si ndiyo maana wapo makatibu wakuu na wasaidizi kibao wa mambo ya sheria Ikulu. Au wote ni maboya?
Hoja yangu ya msingi ni kwamba, ni muhimu sana kuwa na wananchi wenye akili nzuri na uelewa kwani viongozi, wasaidizi wa Rais na hata Rais mwenyewe hutokana na wananchi. Hivyo basi, ukiwa na wananchi na wasaidizi wazuri, hupati matatizo kwa Rais.Huyo rais unayemwongelea hapa usidhani yeye ni 'robot' tu la kuwa'programmed' na hao unaowaita washauri.
Maana ya kuwa rais ni lazima awe na sifa za msingi kutambua ubovu hata katika maeneo ambayo hana ujuzi nayo.
Na zaidi ya hivyo, ujue kuwa yeye huyo huyo rais si lazima ategemee ushauri toka mahali pamoja tu, kwa hao washauri.
Kama anayo mashaka yotote juu ya anayoshauriwa, kwa nini asitafute ushauri wa ziada toka nje ya hao washauri, hata nje ya nchi inapobidi.
Watu mnaotoa visingizio kwa ushauri, na kumwacha mtu mhusika mkuu wa madudu yanayofanyika sijui huwa mnatetea kwa sababu zipi hasa.
Huyo huyo rais aliwateua hao washauri akijua ni watu anaoweza kuwadhibiti ili wafuate matakwa yake.
Hatuna; kwa sababu mkanganyiko umewekwa maksudi kwa kujua au kwa maksudi kuchanganya watu kati ya IGA na hiyo HGA.Hakuna mkataba..mna matatizo gani!?
Sijui kama unaona tatizo lolote na hoja yako hii au laa!Hoja yangu ya msingi ni kwamba, ni muhimu sana kuwa na wananchi wenye akili nzuri na uelewa kwani viongozi, wasaidizi wa Rais na hata Rais mwenyewe hutokana na wananchi. Hivyo basi, ukiwa na wananchi na wasaidizi wazuri, hupati matatizo kwa Rais.
Nyumba ikijengwa kwenye msingi na Kuta mbovu, marekebisho na urembo kwenye paa hayana ufanisi wowote, tuondoe chanzo cha tatizo kwa kurudi kwenye msingi.
Hii ya kuzuia mikutano haiwezekani tena. Aliweza Magufuli peke yake. Wakijaribu watakaribisha maandamano.Wacha aseme ukweli japo mikutano ya hadhara inaweza tena kuzuiliwa kuogopa hii issue ya bandari kwa umma.
Clip muhimu mkuu.