Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Hizo lawama zinazobaki tusisahau kuwagawia genge lililopo kule Bungeni..., Bora yule aliyeondoka mapema kwenye kiti na kutwambia tutaamka tukute tumeuzwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa kongwa aliona mbali, mzee wa tupishee
 
Samahani mkuu, lakini siyaamini maneno yako haya kumhusu mhusika.
"Usikivu" (feki) ulikuwa na maana yake, sasa umekwisha tambulika kuwa ilikuwa ni hadaa tu ya kutafutia sifa.

Usifikiri ni kazi rahisi kujiondoa katika mtego huu aliomo sasa hivi. Hayuko peke yake ujue, hii ni kazi ya timu maalum (genge).
Na hata akisema ajiondoe, sura yake halisi imekwisha jionyesha, hana njia ya kuiripea na kurudisha imani kwa waTanzania.
Ni kweli hayuko peke yake. Kuna nguvu inamwambia vuta vuta muda hawa wajinga watasahau tu
 
Kwa kweli ametukosea sana, hasa tuliokuwa mstari wa mbele kusema anaupiga mwingi. Maneno hayo yametutokea puani. Katutia sana aibu.
Yaani pale ikulu sijui pana shida gani watu wazuri wakifika pale huwa wanabadilika.

Jpm alikuwa mtu mzuri sana lakini alivyokuja kuchange tukashangaa
 
Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.

Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.

Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.

She is an empty suit.
Tukubaliane pale nyumba kuu hakuna kitu ni hewa tu.
Akina Mwigulu ndio vichwa vyake haha, huu ni utani mkubwa sana.

Bora mwendazake mara 1000
 
Acheni ujinga nyie ccm kwani wanaouza ni Chadema? Au mliumia sana kusikia anaupiga mwingi?
 
Yaani pale ikulu sijui pana shida gani watu wazuri wakifika pale huwa wanabadilika.

Jpm alikuwa mtu mzuri sana lakini alivyokuja kuchange tukashangaa
Ccm haiwezi kutoa kiongozi msafi wala kiongozi bora chama gani kila kinapofanya mikutano ya kisiasa lazima wahonge wanainchi pesa na kanga ndio waje kwenye mikutano

Je hizi pesa za kufanyia kampeni wanatoa wapi?

Kila siku wanawaza ushindi wa kishindo lini watafanya maendeleo?
 
Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.

Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.

Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.

She is an empty suit.
Acha dharau nakudhai wewe ndio una akili tu.

Shika adabu yako
 
Hii serikali imekuwa kama Mafia Cartel, kuna kitu kita Yield somewhere, ni suala la muda tu. Huwezi kuliliwa na watu milioni 60 wanaokuomba usiwauze utumwani halafu wewe useme umeziba Masikio
Kweli kabsaa, anawaongezea asila wananchi.
 
Samahani mkuu, lakini siyaamini maneno yako haya kumhusu mhusika.
"Usikivu" (feki) ulikuwa na maana yake, sasa umekwisha tambulika kuwa ilikuwa ni hadaa tu ya kutafutia sifa.

Usifikiri ni kazi rahisi kujiondoa katika mtego huu aliomo sasa hivi. Hayuko peke yake ujue, hii ni kazi ya timu maalum (genge).
Na hata akisema ajiondoe, sura yake halisi imekwisha jionyesha, hana njia ya kuiripea na kurudisha imani kwa waTanzania.
Kujua kwamba hilo genge lilidhamilia hasa unaona anatoka mmoja mmoja kujibu hoja na hoja anazojibu wala haziekeweki hivi kweli kwenye jambo nyeti kama hili Rais wa nchi ni wa kukaa kimya muda wote huo? Tukubali tukatae mambo hayako sawa.
 
Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.

Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.

Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.

She is an empty suit.
Umenikumbusha nyimbo ya shule ya Vidudu ya zamani Sana @mh Raisi naimani aliuimba

Seti tupu haina Memba x 2
Kiitikio
Haina Memba
Haina Memba
Haina Memba!!!!!!!!!!!

Dada yangu Mtukufu kubali yaishe

Ngozi nyeusi siyo Watu!!!

Yasikukute ya mdogowako Yule mchezaji wa Utopolo mwenye kina la kiumbe

Any way Yatapita kwakuwa wewe upon upande wa Mungu Zaidi
Malaika wa Bwana wakulinde Kwa kukufunika na mbawa zao

I love you So Much wewe ni mtu wa Mungu
Naimani Mungu anakutumia Wananchi tuelewe ujinga wetu
 
Mchezaji Wa Uto Joyce
Usijekuwa Joyce Banda wa Malawi
 
Back
Top Bottom