Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Ikiwa unadhani sauti yako (Mwananchi) Ina nguvu kulingana na kile mlichoaminishwa kuwa ni demokrasia! Basi ujue wewe ni myumwa usiyejitambua. Dunia hai_operate hivo. Hata hao mnaowaita wapinzani, mnawezaona Wana sera makini; ila nyuma ya pazia wapo team Moja (na hao wanaojifanya kuwakosoa hadharani). Amkeni jamani kwani hamuoni? Elewa tu hakuna demokrasia duniani (Siyo kura yako inayofanya Kiongozi mkubwa aipate nafasi aliyonayo)...
 
***mtumwa
 
Hatuna; kwa sababu mkanganyiko umewekwa maksudi kwa kujua au kwa maksudi kuchanganya watu kati ya IGA na hiyo HGA.
Usifikiri hilo hatuijui na kulitambua.

IGA iwe ni "Makubaliano" au isiwe; ina mambo yanayohusu "Mikataba" unayozungumzia wewe.
Hujui tofauti ya IGA na hga,hujui pia tofauti ya contract na agreement...hakuna anayekuchanganya,ni umbumbumbu wako tu
 
Hilo siyo tatizo kabisa, unafikiri hata mwendazake alikuwa anaelewa?

Si ndiyo maana wapo makatibu wakuu na wasaidizi kibao wa mambo ya sheria Ikulu. Au wote ni maboya?
shida ni uchawa, washauri wapo ila hawawezi kumshauri mama Mzanzibar aliejiapiza kujipendekeza kwa ndugu zake au miungu wa waislamu a.k.a Waarabu.

Mama empty sana, hoja eti tumeshindwa kusimamia bandary na uwepo wa rushwa ndio maana tunawagawia waarabu kwa muda usio na kikomo, labda pia niulize mahakama na polisi wamehitimu kwa shahada za rushwa je na mahakama na jeshi la polisi tubinafsishe wa wajomba waarabu ?!
 
Urais ni taasisi Kuu yenye mjumuiko wa watendaji mbalimbali wa kisiasa na wataalamu..
 
Wacha aseme ukweli japo mikutano ya hadhara inaweza tena kuzuiliwa kuogopa hii issue ya bandari kwa umma.

Clip muhimu mkuu.
Akifuta mikutano
Aanze upya kusizisha akaunt za MATAJIRI Ili apate pesa

Je ,anaweza ,Dunia kijiji
 
wapi kwenye mkataba pameandikwa kuwa bandari imekodishwa? hii imeuzwa kabisa maana tunaona mwanzo tu ila hakuna pahala popote imeandikwa kuwa itakuwa mwisho.
sasa utakodishaje kitu akudign bila rotdate? mkataba sijausoma ebu kama unayo tuma PDF
 
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.

"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"

"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"

"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna namna nyingine"

View attachment 2676581

Tundu Lissu
Mbopo, Kawe.
Anafanya reference ya mkataba upi wa mauziano ambao rais ameuingia?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mamako ni bora kuliko dhalimu wako ndio!
.
Ndio maana kakuuza uarabuni
Honestly hata huyu mama auze nchi nzima wote tuondoke, hakuna namna yoyote nitamuona dhalimu alikuwa mtu wa maana.
 
Wacha aseme ukweli japo mikutano ya hadhara inaweza tena kuzuiliwa kuogopa hii issue ya bandari kwa umma.

Clip muhimu mkuu.
Na kweli sasa wataizuia , lakini na jeshi na polisi hakuna anayebariki kuuzwa Kwa Tanganyika ie na wao wauzwe
 
Back
Top Bottom