Hata Dr. Wa Mihogo amenena vivyo hivyo!Nadhani kesho atatiwa mbaroni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Dr. Wa Mihogo amenena vivyo hivyo!Nadhani kesho atatiwa mbaroni!
Hayo maruhani yako hayana mpungaji??[emoji23]Unajivuruga makusudi ili na wengine nao wavurugikiwe!!
Hayo maruhani yako hayana mpungaji??
SIMLAUMU RAIS WETU MPENDWA NAWALAUMU WASHAURI WAKE NA WAANDAAJI WA MKATABA HUO!, HAWA WOTE NDIO WA KULAUMIWA, RAIS HUWA NA MAMBO MENGI, NA HUTEUWA WASAIDIZI MAKINI ILI WAMSAIDIE, PALE WANAPOSHINDWA KUMSAIDIA NDIPO HUWA SHIDA.MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.
"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"
"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"
"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna namna nyingine"
View attachment 2676581
Tundu Lissu
Mbopo, Kawe.
Hisani yao, watakachoona wao!Kwani serikali ya Tanzania itakuwa na umiliki wa asilimia ngapi kwenye uendeshaji wa hiyo Bandari?
Mkuu hata kiswahili kina washamba aisee.Mkuu, kumpeleka mtu udanda ndiyo kumpeleka wapi kweli? Najua kiswahili kinakua na kupanuka haraka naogopa nisije nikaachwa na wakati!
Wewe unafahamu kilichoandikwa hapo?[emoji845] #Tanzania
MoU ya TPA na DPW siyo SIRI! Hiyo ni sehemu ya mradi wa @WorldBank
We demand to see the MoU between Tanzania Ports Authority and DPW to know what exactly was agreed upon in Feb 2022 since WB report cited this with regard to IT system that was part of the project funding
How did this go from a consultancy to IGA that wants to take over our sea and lake ports?
We need answersView attachment 2676785View attachment 2676786View attachment 2676787
Sent using Jamii Forums mobile app
I second you, mkuu.Sijui kama kuna jambo ambalo Lissu amewahi kulipinga au kuliongelea halafu muda usije kuwa upande wake.
Wanachuki nae sana hata kumuona anaishi hawapendi.Mbona unarudia sana ishu ya Lissu kupigwa risasi? Ina uhusiano gani na mkataba wa Bandari.
Inaonekana unatamani sana Lissu afe ili tu Samia asisemwe.
Dude ganiDude lenu limebuma enyi vihiyo!
Hawana ajenda,it won't help themKwani wao ndiyo waliosaini hiyo mikataba!!??
naulia za ww unaniulizaImekodishwa kwa miaka mingapi?
MiamiKwenu wapi ?
Kwa mkataba upi?Imekodishwa kwa miaka mingapi?
Whisky hizo analewa tu huyu toka asikie waarabu wanakuja.kumpeleka mtu udanda ndiyo kumpeleka wapi
Wew mpu. mbavu wee ambaye siyo tahira siyo dhaifu mbona hujawa Rais sasaMagufuli alikuwa tahira, Samia ni dhaifu kuliko udhaifu wenyewe