Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

Haiondoi ukweli Magufuli ni mtu wa hovyo hajatokea wa aina yake. Uzuri Samia ana sikia na kushaurika hivyo anaweza kubadilika. Hatupigi kelele kumdhalilisha, laah tunamtaka abadilike na kwa vile ni muungwana atabadilika.
Samahani mkuu, lakini siyaamini maneno yako haya kumhusu mhusika.
"Usikivu" (feki) ulikuwa na maana yake, sasa umekwisha tambulika kuwa ilikuwa ni hadaa tu ya kutafutia sifa.

Usifikiri ni kazi rahisi kujiondoa katika mtego huu aliomo sasa hivi. Hayuko peke yake ujue, hii ni kazi ya timu maalum (genge).
Na hata akisema ajiondoe, sura yake halisi imekwisha jionyesha, hana njia ya kuiripea na kurudisha imani kwa waTanzania.
 
Maza anajikinga kwa lundo la dampo la ushakunaku wa wapambe na wapumbavu wapiga porojo na propaganda mfu. Tuendelee kumpiga amsha amsha mpaka atakapotoka huko mafichoni kwa washauri na wapambe nuksi.

Aje atueleze wazi kwanini anatuuza kama bidhaa kwa wajomba zake huko bara Arabia walioshiriki kutuwinda kama manyani porini na kutuchuuza kwenye masoko ya watumwa.

Aeleze kwanini ameona Tanganyika ndiyo inafaa kupelekwa utumwani Arabia (siyo Misri), lakini visiwa alimozaliwa yeye hawapaswi kwenda kufungwa kwenye nira hii ya utumwa wa MILELE.

Ajitokeze aeleze malengo yake ya muda mfupi na ya muda mrefu kwenye rasilimali zilizobaki kama mbuga za wanyama, vyanzo vya nishati, madini yaliyopo na yatakayovumbuliwa siku za baadae nk.

Na aje aseme kama anatuona sisi ni binadamu kamili au ni nyani waliochangamka.

AJE SASA. NA AJE ASEME SASA. TUJUE MOJA.
 
Sijui kama unaona tatizo lolote na hoja yako hii au laa!

Wewe unadhani nchi hii haina "wananchi wenye akili nzuri na uelewa"?
Hao wenye sifa hizo sasa tukawaokote wapi?

Uamini wangu ni kwamba waTanzania ni watu wenye uelewa mzuri sana wa mambo. Kukosekana kwa mbadala wanaoweza kuutumia badala ya CCM iliyokwishakaa madarakani kwa muda mrefu sana, usichukulie hilo kuwa ndiyo kielelezo cha waTanzania kutokuwa na uelewa.

Kwa mfumo huu tulionao sasa hivi wa kuwapata hawa viongozi, hasa ngazi ya Rais, ambapo ni CCM hiyo hiyo inayechagua huyo Rais, utalaumu vipi wananchi.

Na huyo huyo rais anaposhika madaraka, anakidhibiti chama kilichomweka madarakani na wengine wote ikiwa ni pamoja na hao washauri.
Kwa hiyo anakuwa na uhuru wa kufanya jambo lolote, washauri wawepo au wasiwepo!

Wananchi wenye uelewa lazima watapata mbadala kama kuna uhitaji. Hilo tu la kukosa mbadala ndiyo uthibitisho wa kukosa uelewa.
Wengi wakiwa na uelewa hakuna uwezekano wa wachache au mmoja kujiamilia.
 
Kwa ufupi Tundu Lissu anasema Rais wetu ni mhaini. Inapaswa itafutwe namna yoyote ya kumalizana naye haraka ili Taifa lipone, la siyo taifa limeshaangamia.
 
kipenzi @FaizaFoxy aendelee kutuelimisha hapa.
Huyo ndo kabisaaa boya, kaandaa na mbeleko,sabuni mafuta ya nazi kuogesha na kuwabeba waarabu mgongoni.wampe dirham
Kasema mwenyewe
 
Rais unaingia mzima mzima kwenye mkataba? Huweki hata kivuli ili yakikushinda mbeleni unatosa watu?

Rais unaweka signature kabisa? Kwenye utumbo? Inawezekana washauri wake ndio nyie tusimshangae sana.

Magufuli alikua hovyo kwa kichaa chake huyu bibi ni hovyo kwa upeo wake.
Wewe uko vizuri sana kwenye masoko, tukupeleke Udanda, kwa mzee Museveni ukasimamie masoko ya mizigo ya kule, au unasemaje?

hapo sasa1
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na bado!

Si anaupiga mwingi na kuwaponya majeraha?
Chadema walituambia hivyo, sasa ndiyo wanaujua ukweli, pambafu kabisa!
Niliacha kumpenda na kumshabikia tundu lisu toka alipoasisi ule ujinga wa pinga pinga, angalau mara moja moja naweza kumshukuru kwa kuungana nasi kupinga huu mkataba wa kijinga.
 
Wewe uko vizuri sana kwenye masoko, tukupeleke Udanda, kwa mzee Museveni ukasimamie masoko ya mizigo ya kule, au unasemaje?

hapo sasa1
Mkuu, kumpeleka mtu udanda ndiyo kumpeleka wapi kweli? Najua kiswahili kinakua na kupanuka haraka naogopa nisije nikaachwa na wakati!
 
Wananchi wenye uelewa lazima watapata mbadala kama kuna uhitaji. Hilo tu la kukosa mbadala ndiyo uthibitisho wa kukosa uelewa.
Wengi wakiwa na uelewa hakuna uwezekano wa wachache au mmoja kujiamilia.
Vuta subira kidogo mkuu, 'lebabull', utawaelewa tu waTanzania kwa uelewa wao mkubwa walionao; madam CCM imeamua kufikia mwisho wake bila ya kulazimishwa na yeyote.
 
Tatizo liko wapi? Mie naona lipo kichwani mwako tu.
Sasa hii ni mipasho, kama ilivyo mipasho mingi anayoitumia Samia mwenyewe.

Ukijilazimisha kutoona tatizo, ni wazi huwezi kuona tatizo, au hata ukiliona utajidai hulioni.

Kuna matatizo usiyoweza kuyaficha, kama ulivyo ugonjwa. Kwa hiyo endelea kusubiri kuona tatizo unalojidai hutaki kuliona kama wanavyoliona wengine.
 
Back
Top Bottom