Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Ndugai kaangukaje?

Lililoanguka ni bunge, maana Ndugai atakaa pembeni akiendelea kula maisha, sasa vipi kuhusu bunge?

Kwani hilo bunge lilikuwa limesimama? Kama hata akikaa pembeni angeendelea kula maisha, kipi kilichomfanya agombee ubunge tena kwa kupora uchaguzi?
 
Kaomba msamaha kisha kajiuzulu, yalikuwa maamuzi binafsi yenye haki kikatiba mengine ni POROJO.
Mambo ya kukumbukana ni mambo binafsi pia na ni vizuri kukumbukana.
 
Lema anafurahia Ndungai aliye nyanyasa wabunge wa Upinzani bungeni leo ni mbunge wa kawaida lakini hafurahii mhimili kuvunjwa nguvu.
Umevunjwa nguvu kivipi? Sio kwamba ndugai kuyapeleka masuala muhimu kama yale kwenye Saccos ya wagogo ni khiyana na uchochezi uliopelekea hilo? Ajabu sana kupata spika asiyejua Mamlaka aliyonayo!
 
Kwani Mfalme hawezi kuwa diktekta?
Possible although ufalme huwa ni mtawala wa taifa atokaye kwenye familia ya kifalme ambaye ndiye mtawala mkuu wa taifa.

So mpaka aje awe dikteta ni pale anapoachana na misingi yote ya kifamilia na kuwa nje hata familia haiwezi kumgusa.

Angalia (mfano) uingereza au Tavolara.
 
Kwa ujinga kama huu unaotetea..ipo kazi
 
hicho kichwa chako ni box la kuweka kondomu zilizotumika
 
Yaani kama unaiona hii katiba ya sasa ipo sawa basi utakuwa na tatizo la akili sio bure. Hata Mama mwenyewe anatambua haipo sawa ila kasema apewe muda kwanza afanye mengine.
Haya! Ngoja tumsubiri mama amalize mambo yake, ili awapatie katiba mpya (sarcasm!) mnayotaka nyie ya Rais awe pale Ikulu kama boya la kupelekesha mnavyotaka ninyi.
 
Tumia akili zako vizuri, kwani hii hoja ya uhitaji wa katiba mpya ni ya Lissu? Yaani wewe mwenyewe huwezi kuona kuwa katiba yetu imeshapitwa na wakati?
Imeshapitwa na wakati? Labda nyie ndio mmepitwa na wakati.

Nchi haiwezi kuongozwa na mihemuko ya wanaharakati. Katiba yetu ya sasa haina shida, na wenye shida ni nyinyi msioweza kutumia common sense na bongo zenu kujiongoza vyema na kufanya yaliyo sahihi hadi msubiri katiba mpya.
 
Tungekuwa na utaratibu wa kuwa na speaker asiye mwananachama wa chama cha siasa (independent), huu ininga wa Samia usingetokea kirahisi hivi

Sijui ilikuwaje Job na yeye akasurrender faster hivi?
Ndiyo maana katiba mpya inahitajika kuondoa ujinga wa spika kuwa ni subject wa mwenyekiti wa chama chake, awe independent ndipo ataweza kuusimamia muhimili wa bunge independently.
Upuuzi wa spika wa bunge kupiga magoti kuomba msamaha mara kulazimishwa kujiulu ni fedheha kwa muhimili wa bunge.
 
Walikuwa wajinga big time.. kama wewe tu. Kwa sababu hawakuwa na concept ya kitu gani walitaka ku achieve katika swala zima la democrasia na maendeleo
 
Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...

Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Shambulia HOJA YAKE!! sio kuhamisha gori! Jatika alichoongea content nzima mnaanza kukosoa spelling. WE chizi kama machiz wenzio. Sorry kama nimekuuzi
 
Miaka hii bado kijana unasujudia mawazo ya wazee wa sixties?! Kama ww umeamua kusujudu mambo ya zamani waachie walioamua kutumia akili zao sasa.
Hakuna akili hapo -- ni madhara tu ya utandawazi yaliyowapotosha vijana wetu (na wanazidi kupotoka kweli kweli) kuamini kwamba kila kilicho chetu ni duni na dhaifu, na kile kinachotoka nje ni bora na kinafaa kuigwa. Frankly, ni wapi ulisikia waingereza au wamarekani au wachina au warusi wanaponda katiba zao? Kwamba katiba zao ni ideal hazina mapungufu? Nchi isiyoweza kutetea katiba yake itakuwa nchi ya ajabu sana na ni udhaifu tu wa Kikwete ndio ulisababisha hata akafikiri kuichokonoachokonoa katiba. Mbona hata yeye alifika sehemu akili zikamrudia?
 
Mi nko serious....Lissu ni nani katika nchi hii ya watu milioni 60? Kitu gani special ashawahi ifanyia nchi hii....achilia mbali nchi hii...watu wake wa Singida alikokuwa mbunge?
 
Walikuwa wajinga big time.. kama wewe tu. Kwa sababu hawakuwa na concept ya kitu gani walitaka ku achieve katika swala zima la democrasia na maendeleo
Aisee! kama wale wazee walikuwa wajinga pamoja na makubwa yote waliyoyafanya kuanzia uhuru hadi kusimamisha nchi huru ...... basi ujinga wao una hekima kuliko hekima ya kiwango cha juu ambayo Lissu ashawahi kuifikia. Seriously, mbona watu hawataki kujibu kitu gani Lissu ashawahi kukifanya cha maana katika nchi hii...? Kuingia bungeni na kusema sema maneno doesn't count anything...hata prof. Maji Marefu ashawahi kuwa mbunge.

Hii nchi ifike mahali ianze kutambua watu wanaostahili kuwa recognized kama mashujaa halisi wa nchi hii...kuna watu usiku na mchana wanapambana kwa ajili ya nchi hii, wnaijenga nchi hii, wanailinda nchi hii, wengine wamekufa wakiwa frontline kwa ajili ya kupambania maslahi mapana ya nchi hii halafu majitu yanayopewa airtime ni wanaharakati uchwara tu.

Very stupid!
 
Acha kusingizia watu kijana, lissu lini kala kodi yako bila kazi mwananchi.

Kuna muda huwa anafyatuka na kuna muda anasema kweli na kwa busara. Hili la mamlaka ya raisi liangaliwe kwa mapana na marefu linaathiri kwa kiasi kukubwa utendaji wa serikali.
 
Wewe unazungumzia Raisi kuitumia kwa maslahi mapana ya nchi, Vipi kuitumia kwa maslahi yale binafsi?

Unafikiria kwa kutumia....

Ndio yale yale tulikuwa tunasema. Kiongozi mzuri anapaswa kutengeneza mfumo ambao watu wataufuata hata yeye akiwa hayupo....

Kipindi cha magu watu walishangilia umeme kuwa 27k ila saiv ilivyopanda mpaka 320k watu wameanza kuona mama anazingua....

Wabongo wengi akili hazimo kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…