Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Hayo ni maneno ya akili sana.

Ijapokuwa spika alikuwa mchungu kwa Lissu lakini Lissu amesimama na kweli.

Inakuwaje mhimili mmoja kuudonoa mwingine ? Ingefaa zaidi mihimili yote iwe na kinga

Leo unamwondoa co-worker wako vile kasema kweli.

Ila ipo siku tutamkumbuka job.
 
umemsikia Samia akilaani yaliyotokea awamu ya 5.?
au umemsikia majaliwa akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
Au umemsikia bashiru akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
wanajua wao walikuwa sehemu yake ndo maana wamekaa kimya.
Wakati hayo yanafanyika yeye Samia alikuwa wapi?
 
Akiwa mbunge wa kawaida ana kosa nini?

Ukishangilia yaliymkuta Ndugai ni kwamba una shangilia kunajisiwa kwa bunge
Kunajisiwa huko kulianza karne nyingi
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Na hapa badilisheni nchi iwe ya kifalme.

Ila ni upumbavu kuaminisha watu kwamba hii ni nchi ya kidemokrasia wakati yanayoendelea hanaonekana.
 
Tumkumbuke kwa lipi?
Yaani mtu anatetea tumbo lake useme tutakuja kumkumbuka kisa kahoji mikopo ya Samia?
Mnasahau mapema sana
Hayo ni maneno ya akili sana.

Ijapokuwa spika alikuwa mchungu kwa Lissu lakini Lissu amesimama na kweli.

Inakuwaje mhimili mmoja kuudonoa mwingine ? Ingefaa zaidi mihimili yote iwe na kinga

Leo unamwondoa co-worker wako vile kasema kweli.

Ila ipo siku tutamkumbuka job.
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kuamini kwamba waliokutangulia walikuwa na akili kuliko wewe. Hata kama mambo mengine waliyofanya yalikuwa ni ya kijinga.

Nyerere aliwahi kukukiri kwamba hii katiba imempa mamlaka makubwa na siku inaweza ikatokea mtu akaitumia vibaya.

Ndio haya yanatokea sasa hivi.
 
Maovu ya awamu ya 5 utafananisha na ya awamu ya 4.
Awamu ya 5 ilikuwa motoo.
Ukijitokeza kumkosoa magufuli wewe ulikuwa mwanamme kweli
Hujui chochote!

Mwangosi yuko wapi?
Dr Mvungi yuko wapi?
Wale watu walikufa kwa kurushiwa bomu kwenye mkutano wa chadema pale Arusha ilikuwa ni awamu ya 5 ile
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
We jamaa mchnago wako n wa kipuuzi sana na wala hauna mantiki yoyote, hivi una uhakika Lissu hajawai kufanya kitu chochote cha maana nchini, hivi unataka kusema Lissu hakuwai kupambana kuhusu maeneo yenye migodi kama Nyamongo ili watu wapate haki zao, Michango ya Lissu bungeni ilikua haina maana ktk nchi hii. Hivi kufanya mambo ya maana ni mpaka uunge mkono juhudi za serikali iliyoko madarakan.
 
Tunashangilia kuona Ndugai anaanguka maana alikuwa mhuni tuu ndani ya bunge! Ila mhimili wa bunge kwa Tanzania hauna maana yoyote ile.
Ndugai kaangukaje?

Lililoanguka ni bunge, maana Ndugai atakaa pembeni akiendelea kula maisha, sasa vipi kuhusu bunge?
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Kwa hiyo Nyerere aliyesema Katiba inampa Rais nguvu kupitiliza alikosea?
 
Back
Top Bottom