Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Acha kusingizia watu kijana, lissu lini kala kodi yako bila kazi mwananchi.

Kuna muda huwa anafyatuka na kuna muda anasema kweli na kwa busara. Hili la mamlaka ya raisi liangaliwe kwa mapana na marefu linaathiri kwa kiasi kukubwa utendaji wa serikali.
Kwani nyie mnataka Rais apunguziwe madaraka ili mumfanye nini?

Nope, madaraka makubwa ya Rais halijawahi kuwa ishu katika nchi yetu. Kila nchi ina historia yake na ina utaratibu wake na kutaka kuichokonoa katiba kwa kitu ambacho hakijawahi kuwa tatizo siyo ujanja.

Ni anarchy!
 
Wewe unazungumzia Raisi kuitumia kwa maslahi mapana ya nchi, Vipi kuitumia kwa maslahi yale binafsi?

Unafikiria kwa kutumia....

Ndio yale yale tulikuwa tunasema. Kiongozi mzuri anapaswa kutengeneza mfumo ambao watu wataufuata hata yeye akiwa hayupo....

Kipindi cha magu watu walishangilia umeme kuwa 27k ila saiv ilivyopanda mpaka 320k watu wameanza kuona mama anazingua....

Wabongo wengi akili hazimo kichwani.
Kwa nini umuwazie Rais wako negative? Yale madaraka amepewa kikatiba ili atimize majukumu yake kikatiba na muda wake ukiisha madaraka hayo ananyanganywa ili apewe mwingine kikatiba.

Nyinyi mnamtaka Rais asiwe na meno ili iweje kwa mfano? Imagine mama Samia na upole wake na kasauti kake asingekuwa na hayo madaraka mnayotaka asiwe nayo... hao akina Ndugai na mifume dume yao si wangemnyea kabisa?

Ni hivi, wazee wetu hawakuwa wapumbavu kuweka hiyo mifumo nyie vijana. Ni utoto tu kuanza kuponda misingi iliyokulea na kukufikisha hapo mlipo.
 
Kwa hiyo nisimuwaze Raisi negative kwa sababu yeye ni malaika?

Hizi akili za wapi?

Huenda mna maslahi na viongozi walioko madarakani ndio maana inakuwa ni ngumu kuelewa mtu akilalamika.
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Hata Ndugai juzi alikuwa na mawazo kama yako
 
Si ajabu nawe unajiona una akili kuliko Lissu. Kama huelewi kilichoandika bora ukae kimya.

Tanganyika ilipata Uhuru wake Mwaka 1961. Katiba ya kwanza ya Tanganyika huru iliandikwa Mwaka 1962. Hiyo ndio msingi wa hoja ya Lissu. Katiba hiyo ilitoa mamlaka makubwa sana kwa Rais.
Na hata Tanganyika na Zanzibar zilipoungana Mwaka 1964, katiba hiyo iliendelea kutumika kwa sehemu kubwa mpaka pale ilipofika Mwaka 1977 ilipoandikwa Katiba hii ya sasa, na ambayo bado ilibakiza mamlaka makubwa kwa Rais.

Hebu kakae na hao unaowaita wenye akili wenzio mkajifunze hili. Huijui historia ya Taifa lako lakini una ujasiri wa kukosoa hoja zenye uwezo kukuzidi..
Tafuteni maarifa.
Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...

Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Umeandika nini sasa?
 
Kwani nyie mnataka Rais apunguziwe madaraka ili mumfanye nini?

Nope, madaraka makubwa ya Rais halijawahi kuwa ishu katika nchi yetu. Kila nchi ina historia yake na ina utaratibu wake na kutaka kuichokonoa katiba kwa kitu ambacho hakijawahi kuwa tatizo siyo ujanja.

Ni anarchy!
Daah yani mkuu hujaona kua hilo ni tatizo??

Huoni jinsi viongozi wa chini yake wanavyofanya kazi kwa kuangalia hulka ya mtawala?? Rejea utawala wa Magufuli, hawa kina sabaya, makonda, Hapi na wengi kama hao ni kutokana na kuact kama mkuu wao wa nchi. Ona leo sabaya anahukumiwa kwa makosa mengine ambayo huenda asingeyapata kama asingetumwa na mkubwa wake ambae katiba imemruhusu kufanya chochote na asihojiwe.
 
Kwa hiyo nisimuwaze Raisi negative kwa sababu yeye ni malaika?

Hizi akili za wapi?

Huenda mna maslahi na viongozi walioko madarakani ndio maana inakuwa ni ngumu kuelewa mtu akilalamika.
Maisha gani hayo ya kukaa unashukushuku mtu?

Kwamba basi kwa vile Rais ni mtu na si malaika kwa hiyo kumng'oa meno ndiyo kutamfanya atekeleze majukumu yake kwa vizuri zaidi?

Mi sina maslahi na mtu yeyote aliye madarakani lakini liko wazi kwangu kwamba madaraka aliyonayo Rais kikatiba yapo pale ili kumwezesha atekeleze majukumu yake kwa ubora kabisa.

Kama akiyatumia vibaya badala ya kuyatumia vizuri hilo halitakuwa tatizo la katiba ni tatizo la mtu.
 
Daah yani mkuu hujaona kua hilo ni tatizo??

Huoni jinsi viongozi wa chini yake wanavyofanya kazi kwa kuangalia hulka ya mtawala?? Rejea utawala wa Magufuli, hawa kina sabaya, makonda, Hapi na wengi kama hao ni kutokana na kuact kama mkuu wao wa nchi. Ona leo sabaya anahukumiwa kwa makosa mengine ambayo huenda asingeyapata kama asingetumwa na mkubwa wake ambae katiba imemruhusu kufanya chochote na asihojiwe.
Unapoanza kumtaja Magufuli kama mfano wa watu walioyatumia vibaya madaraka ya urais nadhani hapa umekosea njia kwa sababu mimi ni shabiki namba moja wa Magufuli. Namchukulia yule mzee kama pengine Rais bora kabisa wa Tanzania pengine baada ya Nyerere.

Anyway, nikirudi kwenye hoja yako ya msingi kuhusu hao akina Makonda na Sabaya....well...kwa nini uende kwa akina Makonda na Sabaya (wakuu wa wilaya na mikoa) uwaruke wengine wakati pia utawala wa Magufuli ulikuwa na akina mama Samia (namba 2 wake), Majaliwa (PM wake) na wengineo kibao ambao wala hawatajwi kwa mabaya?

Ni hivi jitu bovu ni jitu bovu bila kujali aina ya katiba, bila kujali alie juu yake. Huyu Makonda si ndiye alimpiga kofi mzee Warioba wakati wa JK? Kwa hiyo Makonda kumkosea heshima Warioba alijifunza kwa Kikwete?

Unaona udhaifu wa hoja yako?
 
Maisha gani hayo ya kukaa unashukushuku mtu?

Kwamba basi kwa vile Rais ni mtu na si malaika kwa hiyo kumng'oa meno ndiyo kutamfanya atekeleze majukumu yake kwa vizuri zaidi?

Mi sina maslahi na mtu yeyote aliye madarakani lakini liko wazi kwangu kwamba madaraka aliyonayo Rais kikatiba yapo pale ili kumwezesha atekeleze majukumu yake kwa ubora kabisa.

Kama akiyatumia vibaya badala ya kuyatumia vizuri hilo halitakuwa tatizo la katiba ni tatizo la mtu.
Kwa hiyo akiamua kuyatumia vibaya itabidi tukae tu hatuna cha kufanya sababu tumempa madaraka amekuwa mungu wetu.

Yaani tunakaa tuyasubiri matatizo?

The worst eti hashtakiwi. Huu ujinga ndio unafanya mtu anajifanyia tu chochote anachojisikia halafu hakuna wa kumuuliza halafu kuna wapumbavu wanaona ni sawa tu.
 
Unapoanza kumtaja Magufuli kama mfano wa watu walioyatumia vibaya madaraka ya urais nadhani hapa umekosea njia kwa sababu mimi ni shabiki namba moja wa Magufuli. Namchukulia yule mzee kama pengine Rais bora kabisa wa Tanzania pengine baada ya Nyerere.

Anyway, nikirudi kwenye hoja yako ya msingi kuhusu hao akina Makonda na Sabaya....well...kwa nini uende kwa akina Makonda na Sabaya (wakuu wa wilaya na mikoa) uwaruke wengine wakati pia utawala wa Magufuli ulikuwa na akina mama Samia (namba 2 wake), Majaliwa (PM wake) na wengineo kibao ambao wala hawatajwi kwa mabaya?

Ni hivi jitu bovu ni jitu bovu bila kujali aina ya katiba, bila kujali alie juu yake. Huyu Makonda si ndiye alimpiga kofi mzee Warioba wakati wa JK? Kwa hiyo Makonda kumkosea heshima Warioba alijifunza kwa Kikwete?

Unaona udhaifu wa hoja yako?
Tunapoteza muda bure kubishana na watu wa aina yako.....

Kama Magu angekuwa Bora angetengeneza mfumo ambao ungefanya kazi hata yeye akiwa kaburini badala ya kutuongoza kwa utashi wake.

Otherwise ni mpumbavu tu ndio atasema jamaa alikuwa raisi bora.
 
Unapoanza kumtaja Magufuli kama mfano wa watu walioyatumia vibaya madaraka ya urais nadhani hapa umekosea njia kwa sababu mimi ni shabiki namba moja wa Magufuli. Namchukulia yule mzee kama pengine Rais bora kabisa wa Tanzania pengine baada ya Nyerere.

Anyway, nikirudi kwenye hoja yako ya msingi kuhusu hao akina Makonda na Sabaya....well...kwa nini uende kwa akina Makonda na Sabaya (wakuu wa wilaya na mikoa) uwaruke wengine wakati pia utawala wa Magufuli ulikuwa na akina mama Samia (namba 2 wake), Majaliwa (PM wake) na wengineo kibao ambao wala hawatajwi kwa mabaya?

Ni hivi jitu bovu ni jitu bovu bila kujali aina ya katiba, bila kujali alie juu yake. Huyu Makonda si ndiye alimpiga kofi mzee Warioba wakati wa JK? Kwa hiyo Makonda kumkosea heshima Warioba alijifunza kwa Kikwete?

Unaona udhaifu wa hoja yako?
Kwanza umedeclare kua wewe ni shabiki namba moja wa Magu, hivyo si rahisi wewe kukubali kua huyo raisi wako alikosea mahala. Ni mbaya sana hii kumuelimisha mtu ambaye tayari ana majibu yake asiyotaka yabadilishwe.

Hoja sio dhaifu mkuu na hapo hao nimetaja wachache mno, kiufupi uongozi uliopita ulikua unafanya kazi kwa mihemko kupita kiasi. PM aliepita ambaye ndo huyuhuyu ila ni kama tofauti(sijui umeelewa).

Kubali kataa Magu kuna mambo alikua anafanya nje ya katiba, hakuacha wizara zifanye kazi yake( huku kwetu tunawaita kina kajua yote). Ila kwakua wewe ni shabiki huwezi kuona hayo, utatetea hata madudu.
 
Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
TAL ni mtanzania wa kweli ambae amethibitisha kwa DAMU kuwa ni mzalendo mfia nchi halisi. KATIBA BORA/MPYA ndio itaiponya nchi na TAIFA hili ili kweli tuwe na uhuru na wenye haki katika nchi yetu. WANANCHI NDIO WAPIGE KURA. WANANCHI NDIO WACHAGUE.
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Wewe unanyonya kupitia mrija wa Rais huoni mantiki ya hoja ila siku wakikuondoa kwenye huo mlo lazima utaunga mkono kauli ya Lissu, au kamuulize Leo Job kuhusu madarakanya Rais atakwambia yapunguzwe
 
Kwa hiyo akiamua kuyatumia vibaya itabidi tukae tu hatuna cha kufanya sababu tumempa madaraka amekuwa mungu wetu.

Yaani tunakaa tuyasubiri matatizo?

The worst eti hashtakiwi. Huu ujinga ndio unafanya mtu anajifanyia tu chochote anachojisikia halafu hakuna wa kumuuliza halafu kuna wapumbavu wanaona ni sawa tu.
Katika watu milioni 60 ni Rais gani atafanya jambo halafu likaonekana kuwa sahihi kwa watu wote hao?

By the way nafikiri pia kwenye katiba ya sasa kuna mwanya wa wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais. Of course hilo halijawahi kutokea kwenye nchi yetu na pia sidhani kama tushawahi kuwa na Rais wa ajabu sana kiasi kwamba jamii ifikirie kutumia mwanya huo.
 
Due to women emancipation movements, a man has become an endangered specie.
 
Bunge hilo ambalo Magu alikuwa anaamua nani awe mbunge?

Eti ndio lipige kura ya kutokuwa na imani naye?

Akili za wapi hizi?
 
Back
Top Bottom