SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sabaya huyu ni wa kunyongwa hadi afe. Kama amekiri makosa ni kwa kesi zilizokuwa Mahakamani,hatujamaliza, kuna kesi lukuki zinapelekwa Mahakamani soon. Huyu atafia jela tu
Tundu yuko sahihi kabisa Sabaya ni mzima.
Anakupotosha au anaeasaidieni wenye akili mgando andalao ziyeyuke,mtaweza angalau kuanza anza kuelewa🤔
Ni kweli kesi aliyofungwa kwayo miaka 30 ni ya ujambazi wa kutumia silaha kwa mfanya biashara Mroso.
Naona upo nyuma ya muda mkuu🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Naunga mkono iwapo Mahakama zitakuwa huru huu mwingiliano wa maamuzi hautokuwepo kabisa na siasa chafu zitapungua nchini.Ni kweli kesi aliyofungwa kwayo miaka 30 ni ya ujambazi wa kutumia silaha kwa mfanya biashara Mroso.
Hili ni kosa la jinai na sii kosa la kisiasa.
Sasa jamhuri ilimkatia rufaa baada ya hukumu kutenguliwa kwa maagizo.
Hii ni kusema kwamba aliyetoa muongozo kwa judge kutengua kifu go cha miaka 30 ndie huyo huyo atakuwa ametoa maelekezo ya plea and bargain itekelezwe mahakanani.
Tunatamani mahakana zetu ziwe huru kutekeleza utawala wa sheria kwa wote na sii tu kwa kundi fulani.
Sasa mbona yeye akiambiwa alivamiwa na majambazi anakataa?Naona upo nyuma ya muda mkuu
Sabaya ni jambazi tuwe tunasema ukweli
Jambazi ni mtu yeyote yule hata ccm wanaweza kuwa majambazi😁Sasa mbona yeye akiambiwa alivamiwa na majambazi anakataa?
Ndio Lisu alivamiwa na majambazi!Jambazi ni mtu yeyote yule hata ccm wanaweza kuwa majambazi😁
Amekiri makosa sasa unashangaa nini jambazi kuwa mwenyekiti wa ulinzi na usalama, kwani una guarantee gani kama mwenye kiti wa ulinzi na usalama hawezi kuwa jambazi, alikua jambazi tena zaidi ya majambazi yenyewe,🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Kwahiyo DSO na OCD walishindwa kumtambua?Amekiri makosa sasa unashangaa nini jambazi kuwa mwenyekiti wa ulinzi na usalama, kwani una guarantee gani kama mwenye kiti wa ulinzi na usalama hawezi kuwa jambazi, alikua jambazi tena zaidi ya majambazi yenyewe,
Unaongea nini wewe, yeye kishakiri makosa yake unatetea nini hapo, ni jambazi na ndio maana alikua na kesi za kujibu, siasa tu zimemnusuruKwahiyo DSO na OCD walishindwa kumtambua?
Jambazi akikiri analipa 5m na kuendelea kudunda mitaani!Unaongea nini wewe, yeye kishakiri makosa yake unatetea nini hapo, ni jambazi na ndio maana alikua na kesi za kujibu, siasa tu zimemnusuru
Fanya wewe alafu ukakiri ndio ushahidi wa kufungwa huo, siasa is a bitchJambazi akikiri analipa 5m na kuendelea kudunda mitaani!
Kumbe ni Siasa siyo jambazi, ahsante kwa ufafanuziFanya wewe alafu ukakiri ndio ushahidi wa kufungwa huo, siasa is a bitch
Enzi za magufuli hata kichaa alikua anaweza kuwa mkuu wa KUU.[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Doesnt make any different brother, sio siasa sio ukuu wa wilaya havikufanyi usiwe jambazi, ujambazi ni hurka na sabaya ni jambazi, ni sawa na shekhe au padre mlawiti, ni mlawiti tuu kibaka tuu, ushekhe au upadre haumfanyi asiwe kibaka wakati anabaka, that's stupid point, ukweli ni kwamba kafanya ujambazi siasa ndio zimetumika kumueka uraiani, na God bless him amepata second chance amrudie Mungu wakeKumbe ni Siasa siyo jambazi, ahsante kwa ufafanuzi