Tunamsubiri boma ng'ombe,tutampata tu hata Kama muda utapita kwasababu Hana Tena jeuri ya kutufanya chochote.Unaweza kukwepa mkono wa sheria lakini si mkono Mungu
Kama ni kweli sabaya aliwatende mabaya watu awatafute haraka sana awaombe msamaha.
Ina maana hiyo familia itakuwa yote ya wehu? Siamini kama hata watoto wake na mke wake, wote watakuwa wameugua pamoja naye, tena wote iwe ni matatizo ya afya ya akili.Ondoa upuuzi wako hapa. Huyo atakuwa rais wa familia yako labda.
Vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Tuliwaona Lisu na fatuma kalume wakiwatetea kwa hoja na ufasaha
Kwani kamati ya ulinzi na usalama ni cheo cha maana sana, au ni cheo cha uadilifu? Kama rais wa wakati huo hakuwa muadilifu, ndio itakuwa huyo muhuni?🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Kama mahakama zingekuwa huru angeweza kufanya hivyo. Lakini kwa mahakama hizi zinazoagizwa aina ya hukumu, itakuwa ni kupoteza muda.Lisu kwakua anaushahidi afanye mchakato arudishwe
Me nakupa moja tu kati ya mengi hili hapaUnaweza kukwepa mkono wa sheria lakini si mkono Mungu
Kama ni kweli sabaya aliwatende mabaya watu awatafute haraka sana awaombe msamaha.
Mahakama za michongoWewe ni mahakama?
Huyu TAL ana ugonjwa wa akili. Vyombo vya habari viache kiherehere cha kumhoji. Lissu kwa sasa hana tofauti na mfalme Zumaridi. Wakiendelea kumhoji, wataishia kufungiwa na TCRA."Lengai Ole Sabaya sio mkosaji wa kisiasa, Sabaya ni jambazi, na amehukumiwa kwa ujambazi.
Angeshtakiwa kwa yote ambayo aliyoyafanya na ambayo tunayafahamu angekaa gerezani maisha yake yote" TunduALissu,
View attachment 2580784
Watanzania wanamuhukumu mtu Kwa kusikia kama alivyosikia tundu LisuKama niliyosikia ni kweli kuhusu kulawiti watu kugonga misumari kwenye ugoko mauwaji unyanganyi na mengiñe mengi kumhusu sabaya
Basi Tundu lissu Yuko sahihi
Ila kama ni vinginevyo mtoa mada Yuko sahihi
Braza unalazimisha ununda.....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] CCM ndivyo mlivyo......unajitekenya then unachekaKumbe ni Siasa siyo jambazi, ahsante kwa ufafanuzi
Kwamba mahakama imekosea kumfunga mwenyekiti wa kamati ulinzi na usalama!!🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Kwani amekiri nini sabaya pale mahakamani si kakiri kaiba ikabid wakubaliane atoke auWewe ni mahakama?
Sasa kuwa mwenyekiti kunakuzuiaje kufanya vitendo vya kijambazi? Hivi una akili hata kidogo wewe? Mtu aliyekata watu vidole, kuwapiga raia misumari mwilini, kuhudumiwa bar bila kulipa, kutishia watu amani kwa bastola huyo ni nani? 🤣🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Lissu ni mropokaji ila kwa hili ame make points. Sabaya ni jambazi kweli kwa tabia tu na matendo aliofanya ana akisi ujambazi typically. Regardless ya madaraka aliyokuwa nayo kisiasa. Yeye sio mkuu wa wilaya wa kwanza mbona wenzake hawakufanya ambayo yeye alifanya? 🤣Kama niliyosikia ni kweli kuhusu kulawiti watu kugonga misumari kwenye ugoko mauwaji unyanganyi na mengiñe mengi kumhusu sabaya
Basi Tundu lissu Yuko sahihi
Ila kama ni vinginevyo mtoa mada Yuko sahihi
Wakamsulubu vizuri huko uraiani. Haina jinsi maana watu wana hasira naye mno.Sabaya hakustahili kurudi uraiani.
Ni muda wa kumnyoosha sasa ile man to man 🤣 maana hana kinga yeyote kwa sasa. Ni raia kama raia wengine tu mwenye kadi ya jela na CCMTunamsubiri boma ng'ombe,tutampata tu hata Kama muda utapita kwasababu Hana Tena jeuri ya kutufanya chochote.
Alipewa na raisi cheo cha u DC.nahivo kuwa mwenyekiti jambazi. Sasa hatutaki nchi iendeshwe kwa hisani ya mtu mmpja yaani rais.[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?