Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
BDA445C8-E798-47E1-8978-50CEA0ABD694.jpeg
 
Much as the game of football will continue to be played by the human beings, the errors like the one noticed in the yesterday's match between Mamelodi Sundows and Young Africans will continue to persist no matter what so there will be no avenue to perfection.
 
Hakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.

Jipangeni upya na msajili vizuri.
Toa ushahidi kamili kuonyesha kuwa haukuvuka
 
Msijali katimu katasogea kidogokwenye rank ya CAF,kwa simba hawajawahi kuonewa kipi kigeni?
 
Hakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.

Jipangeni upya na msajili vizuri.
Mkuu ulikua unaangalia Mpira kwenye radio , mpira umezama wote ule
 
Yanga ndio timu inayojadiliwa zaidi Africa kwa Sasa.!
Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.

Sasa kwenye mpira wa Yanga saa ya mwamuzi haikutetema na wataalamu wa VAR hawakuona kama ni goli. Unataka refa aseme ni goli??
 
Back
Top Bottom