Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Saa ya mwamuzi how mkuu. Je kama siku hiyo hakuunganisha na hiyo technology.Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.
Sasa kwenye mpira wa Yanga saa ya mwamuzi haikutetema na wataalamu wa VAR hawakuona kama ni goli. Unataka refa aseme ni goli??