Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.

Sasa kwenye mpira wa Yanga saa ya mwamuzi haikutetema na wataalamu wa VAR hawakuona kama ni goli. Unataka refa aseme ni goli??
Saa ya mwamuzi how mkuu. Je kama siku hiyo hakuunganisha na hiyo technology.
 
Much as the game of football will continue to be played by the human beings, the errors like the one noticed in the yesterday's match between Mamelody Sundows and Young Africans will continue to persist no matter what so there will be no avenue to perfection.
Sawaaa msomi
 
Hakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.

Jipangeni upya na msajili vizuri.
Makagari yako
 
Popomalism at work
Hivi huyo Etwege yuko dunia ya wapi mpaka hakuona utabiri wa Lissu wa kushtakiwa mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara duniani ukitimia mpaka mzee Mruma wakati anahojiwa mwaka juzi na vijana wadogo alivyotia huruma huko mahakamani?
 
Popomalism at work
Hivi huyo Etwege yuko dunia ya wapi mpaka hakuona utabiri wa Lissu wa kushtakiwa mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara duniani ukitimia mpaka mzee Mruma wakati anahojiwa mwaka juzi na vijana wadogo alivyotia huruma huko mahakamani?
 
Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.
Goal line technology haitumiki kwenye mashindo ya CAF au sehemu yoyote Africa, kwasababu inahitajika gharama kubwa zaidi ya euro million tatu kufunga huo mfumo.Kuna wajinga wengi kama wewe wanafikiri VAR na goal line technology ni mfumo mmoja wakati kiuhalisia ni mifumo miwili tofauti, ndio maana ligi kubwa kama La liga haina goal line technology licha ya kuwa VAR kila uwanja.
 
Hakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.

Jipangeni upya na msajili vizuri.
Mpira mzima ulivuka. Check hapo
 
Goal line technology haitumiki kwenye mashindo ya CAF au sehemu yoyote Africa, kwasababu inahitajika gharama kubwa zaidi ya euro million tatu kufunga huo mfumo.Kuna wajinga wengi kama wewe wanafikiri VAR na goal line technology ni mfumo mmoja wakati kiuhalisia ni mifumo miwili tofauti, ndio maana ligi kubwa kama La liga haina goal line technology licha ya kuwa VAR kila uwanja.
Basi VAR imesema ule mpira haukuingia wote. Mtawafanya nn sasa? Mklieta za kitopolo mtashushwa daraja.

Yaani kuruka ruka kule ndiyo unataka Yanga imtoe Mamelodi? Aziza na Mzinzi (wakosa magoli wale) waende nusu failnali halafu Modiba, Shelulile, Nzwane na Allende wabaki?
 
I understand why Morocco doesn't want to be recognised as Africans this continent is cursed.
 
Basi VAR imesema ule mpira haukuingia wote. Mtawafanya nn sasa? Mklieta za kitopolo mtashushwa daraja.

Yaani kuruka ruka kule ndiyo unataka Yanga imtoe Mamelodi? Aziza na Mzinzi (wakosa magoli wale) waende nusu failnali halafu Modiba, Shelulile, Nzwane na Allende wabaki?
Ulaya kwenyewe wamethibitisha ni goli halali, we ni nani hadi ukatae au zile goli 5-1 bado zinakutesa sana Kolowizards?

Kenge hawakosekani kwenye msafara wa mamba, wahi sasa kuzimu kuchukua zawadi yako ya roho mbaya maana uchawi si kupaa tu na ungo.
Screenshot_2024-04-07-16-00-31-66_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-04-06-12-47-21-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Uongooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishaapa sikuiti tena Mbumbumbu ila napenda tu unavyowachachafya Utopolo bila ya kujua hauko sirias zaidi ya kufurahia tu wanavyotokwa mapovu ilihali ulikubali ni goli halali kwenye uzi wa Mamelody Sundowns VS Yanga SC [emoji847]
 
Waliesabu bila kujua sheria ya line goal theory. Kwa Sheria hii lile sio goli period
Line goal TEC umeiona wapi mkuu maana haikuwepo na havijafungwa hivyo vifaa uwanjan na hatukuoneshwa kwa kuchora mstari sasa mwenzetu tuambie uliiona wapi?
 
Back
Top Bottom