Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Kwa kifupi niseme hivi,mwenye nyuzi nyingine kama uzi huu asisite kuandika.Sisi wasomaji makini tupo,tutasoma na kuunga mkono hoja nzito kwa maslahi ya umma!

Mbona kama unaunyafuzi wa Akili kuna mtu yoyote anaye mchukia mama ,Watu wanataka jchaguzi ulio huru na haki. Aijarishi atachaguliwa nani.Hakika Lissu et al wana HOJA wasikilizwe..Naendelea kumuombea Mh Rais azidi kupata BUSARA na HEKIMA za kuwaepuka viongozi wafitni wasiopenda kuona Mama Tanzania anastawi
Nadhani kwa d flatAlivyo reseat alifaulu ?
Kwa tulioshuhudia wizi mkubwa wa kura 2019, 2020 na 2024 hoja ya Lissu tuliielewa tangu dei wani.Nimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki.
Nimeshiriki harakati nyingi za kichama na kiserikali kutokea 'vyombo vyetu'. Nami, hakika, nimebahatika kuwa kiongozi chamani na serikalini katika awamu mbalimbali za kiuongozi. Najivunia, bila kujisifia, kutoa mchango wangu kwenye ushindi wa kishindo kuliko nyundo wa CCM yangu kabla na baada ya vyama vingi kama shilingi.
Nimewaona na kuwasikia wanasiasa wengi. Wapo wanaosema wasichokipenda, kukiamini na kukijua. Wapo wanaosema wanaokijua lakini wasichokiamini. Wapo wanaosema wanachokijua, wanachokiamini lakini hawawezi 'kukisimamia'. Wapo, wachache mno, wanaosema wanachokiamini, wanachokijua, wanachokipenda na wanaweza kukisimamia.
Kati ya hao wachache mno, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, ni mmojawapo. Ukimtazama na kumsikiliza, anamaanisha. Haogopi kubaki peke yake. Haogopi kupingwa kwa hoja na viroja. Haogopi kukosolewa bila 'kushambuliwa'. Haogopi kuonesha msimamo wake dhahiri kwa umahiri.
Kiutaniutani, kuanzia kwenye kampeni zake za Uenyekiti wa CHADEMA, hoja yake ya No reforms, no election inabamba. Msingi wa hoja yake ni kuwa sheria na taratibu za kiuchaguzi zinapaswa kufanyiwa marekebisho makubwa ili kuonesha wazi kuwa kuna uhakika wa uchaguzi huru na wa haki. Si ana hoja hapo?
Lissu anaiuza hoja yake kwa kutoa matukio ya kichaguzi katika chaguzi zilizotangulia tangu kuanza kwa chaguzi zilizojumuisha vyama vingi. Kuna mambo hujirudia tu kwakuwa sheria, kanuni na taratibu za kiuchaguzi zinatengeneza vichaka vya uhakika vya kujificha.
Kuenguliwa wagombea kwa sababu za ajabu; kuvurugwa kwa mikutano ya kampeni; kukwamishwa na kutothaminiwa kwa mawakala; uchaguzi kusimamiwa na kuratibiwa na wateule wa Rais ambaye aidha anagombea au anamtangaza mgombea; kuwepo na magumashi kwenye kutangazwa matokeo na mambo mengineyo ya kudhuru mwili na kuharibu mali ni mambo yanayokataliwa na Lissu.
Kwa miaka yangu hii inayokaribia 80 na uzoefu wangu kisiasa wa zaidi ya miaka 40, naiona hoja ya Lissu na naiona kama yenye faida kwa wote. Hivi, hata makada wa CCM hawapendi kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila kuchakachuliwa? Haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kikatiba. Lissu ana hoja ya haja.
Tafadhali Mama, Lissu asipuuzwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Hakuna miradi itakayofunika haki ya uchaguziLissu ni mtu aliyebeba maono.Sio kama Samia mradi pakuche tu
Hapo ndio umechangia hoja ya vunta-nkuvute? Ukweli wa mambo hamuutaki kwa sababu ya uchu wenu wamadaraka lengo lenu ni kuuwa wananchi.My friends ladies and gentlemen,
kwa maoni yangu huru, nadhani ni muhimu sana, huyo tapeli wa kuomba kuchangiwa pesa kwa mtindo wa tone tone, na genge lake la vibaka wa siasa ndani ya chama chao, yafaa kupuuzwa na kuogopwa kama ukoma,
kwasabb ni maadui wa demokrasia, na hawataki kabisa kuskia mambo ya demokrasia, ila wanataka tu kutapeli wananchi pesa kidigitali kwaajili ya kunywa wisky na nyama.
Ni muhimu kujihadhari na huyo yahaya kibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi 🐒
Ukisema wewe Vuta Nkuvute mimi sipingiNimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki.
Nimeshiriki harakati nyingi za kichama na kiserikali kutokea 'vyombo vyetu'. Nami, hakika, nimebahatika kuwa kiongozi chamani na serikalini katika awamu mbalimbali za kiuongozi. Najivunia, bila kujisifia, kutoa mchango wangu kwenye ushindi wa kishindo kuliko nyundo wa CCM yangu kabla na baada ya vyama vingi kama shilingi.
Nimewaona na kuwasikia wanasiasa wengi. Wapo wanaosema wasichokipenda, kukiamini na kukijua. Wapo wanaosema wanaokijua lakini wasichokiamini. Wapo wanaosema wanachokijua, wanachokiamini lakini hawawezi 'kukisimamia'. Wapo, wachache mno, wanaosema wanachokiamini, wanachokijua, wanachokipenda na wanaweza kukisimamia.
Kati ya hao wachache mno, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, ni mmojawapo. Ukimtazama na kumsikiliza, anamaanisha. Haogopi kubaki peke yake. Haogopi kupingwa kwa hoja na viroja. Haogopi kukosolewa bila 'kushambuliwa'. Haogopi kuonesha msimamo wake dhahiri kwa umahiri.
Kiutaniutani, kuanzia kwenye kampeni zake za Uenyekiti wa CHADEMA, hoja yake ya No reforms, no election inabamba. Msingi wa hoja yake ni kuwa sheria na taratibu za kiuchaguzi zinapaswa kufanyiwa marekebisho makubwa ili kuonesha wazi kuwa kuna uhakika wa uchaguzi huru na wa haki. Si ana hoja hapo?
Lissu anaiuza hoja yake kwa kutoa matukio ya kichaguzi katika chaguzi zilizotangulia tangu kuanza kwa chaguzi zilizojumuisha vyama vingi. Kuna mambo hujirudia tu kwakuwa sheria, kanuni na taratibu za kiuchaguzi zinatengeneza vichaka vya uhakika vya kujificha.
Kuenguliwa wagombea kwa sababu za ajabu; kuvurugwa kwa mikutano ya kampeni; kukwamishwa na kutothaminiwa kwa mawakala; uchaguzi kusimamiwa na kuratibiwa na wateule wa Rais ambaye aidha anagombea au anamtangaza mgombea; kuwepo na magumashi kwenye kutangazwa matokeo na mambo mengineyo ya kudhuru mwili na kuharibu mali ni mambo yanayokataliwa na Lissu.
Kwa miaka yangu hii inayokaribia 80 na uzoefu wangu kisiasa wa zaidi ya miaka 40, naiona hoja ya Lissu na naiona kama yenye faida kwa wote. Hivi, hata makada wa CCM hawapendi kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila kuchakachuliwa? Haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kikatiba. Lissu ana hoja ya haja.
Tafadhali Mama, Lissu asipuuzwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Hili andiko lilikuwa limejificha wapi....?Nimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki.
Nimeshiriki harakati nyingi za kichama na kiserikali kutokea 'vyombo vyetu'. Nami, hakika, nimebahatika kuwa kiongozi chamani na serikalini katika awamu mbalimbali za kiuongozi. Najivunia, bila kujisifia, kutoa mchango wangu kwenye ushindi wa kishindo kuliko nyundo wa CCM yangu kabla na baada ya vyama vingi kama shilingi.
Nimewaona na kuwasikia wanasiasa wengi. Wapo wanaosema wasichokipenda, kukiamini na kukijua. Wapo wanaosema wanaokijua lakini wasichokiamini. Wapo wanaosema wanachokijua, wanachokiamini lakini hawawezi 'kukisimamia'. Wapo, wachache mno, wanaosema wanachokiamini, wanachokijua, wanachokipenda na wanaweza kukisimamia.
Kati ya hao wachache mno, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, ni mmojawapo. Ukimtazama na kumsikiliza, anamaanisha. Haogopi kubaki peke yake. Haogopi kupingwa kwa hoja na viroja. Haogopi kukosolewa bila 'kushambuliwa'. Haogopi kuonesha msimamo wake dhahiri kwa umahiri.
Kiutaniutani, kuanzia kwenye kampeni zake za Uenyekiti wa CHADEMA, hoja yake ya No reforms, no election inabamba. Msingi wa hoja yake ni kuwa sheria na taratibu za kiuchaguzi zinapaswa kufanyiwa marekebisho makubwa ili kuonesha wazi kuwa kuna uhakika wa uchaguzi huru na wa haki. Si ana hoja hapo?
Lissu anaiuza hoja yake kwa kutoa matukio ya kichaguzi katika chaguzi zilizotangulia tangu kuanza kwa chaguzi zilizojumuisha vyama vingi. Kuna mambo hujirudia tu kwakuwa sheria, kanuni na taratibu za kiuchaguzi zinatengeneza vichaka vya uhakika vya kujificha.
Kuenguliwa wagombea kwa sababu za ajabu; kuvurugwa kwa mikutano ya kampeni; kukwamishwa na kutothaminiwa kwa mawakala; uchaguzi kusimamiwa na kuratibiwa na wateule wa Rais ambaye aidha anagombea au anamtangaza mgombea; kuwepo na magumashi kwenye kutangazwa matokeo na mambo mengineyo ya kudhuru mwili na kuharibu mali ni mambo yanayokataliwa na Lissu.
Kwa miaka yangu hii inayokaribia 80 na uzoefu wangu kisiasa wa zaidi ya miaka 40, naiona hoja ya Lissu na naiona kama yenye faida kwa wote. Hivi, hata makada wa CCM hawapendi kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila kuchakachuliwa? Haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kikatiba. Lissu ana hoja ya haja.
Tafadhali Mama, Lissu asipuuzwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Naona unajitekenya na kujichekesha MwenyeweNyie kunguni mnaona wazee wanaojitambua huko CCM wameshampa mama yenu tadhahari , muda sio mrefu mtaelewa vizuri kuwa no reforms no election sio agenda ya kichama .
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy 2
Hapa hakuna kujitekenya wala kutekenywa kama umezoea kutekenywa hilo sio jukwaa lake.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe