Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Vuta nkuvute.....sisi ndio mabachela......waacha waoaneNimeshiriki harakati nyingi za kichama na kiserikali kutokea 'vyombo vyetu'. Nami, hakika, nimebahatika kuwa kiongozi chamani na serikalini katika awamu mbalimbali za kiuongozi. Najivunia, bila kujisifia, kutoa mchango wangu kwenye ushindi wa kishindo kuliko nyundo wa CCM yangu kabla na baada ya vyama vingi kama shilingi.