Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie jidanganyeni hii nchi sio ya CCM.Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Hayupo wa kumfutaAkijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Naunga mkonoKauli ya Mgombea wa CHADEMA Ndugu Lissu akiwa Serengeti Leo.
Amesoma kanuni zilizoandaliwa na tume zinataka mlalamikaji apeleke malalamiko kwa utaratibu uliowekwa na Tume yenyewe ambao umekiukwa.
Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi ni kauli ya mtandaoni na sio njia rasmi ya kuwasilisha malalamiko.
Sasa upepo unafutwaje wewe kilaza wa CCM?Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Too late. ........ njia waliyobaki nayo sasa ni moja. Kwa kuwa Mwenyekiti wa Tume akinatangaza matokeo ndiyo final .... Yohana akae mkao wa kula tu akihope Mwnyekiti wa Tume kichaa hakiandi na kujitangazia tofauti na matarajio yake!!Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Mimi si mshabiki wa siasa lakini katika hili nasimama na Lissu.Kauli ya Mgombea wa CHADEMA Ndugu Lissu akiwa Serengeti Leo.
Amesoma kanuni zilizoandaliwa na tume zinataka mlalamikaji apeleke malalamiko kwa utaratibu uliowekwa na Tume yenyewe ambao umekiukwa.
Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi ni kauli ya mtandaoni na sio njia rasmi ya kuwasilisha malalamiko.
Jaribuni Muone. Wajinga nyieAkijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Ww fuka kweliMbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.