Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

kama unadhani Lisu atashinda urais!! basi jiandae kunywa dawa za presure baada ya octoba 28.
 
Kauli ya Mgombea wa CHADEMA Ndugu Lissu akiwa Serengeti Leo.

Amesoma kanuni zilizoandaliwa na tume zinataka mlalamikaji apeleke malalamiko kwa utaratibu uliowekwa na Tume yenyewe ambao umekiukwa.

Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi ni kauli ya mtandaoni na sio njia rasmi ya kuwasilisha malalamiko.
 
Safi Sanaa! Hakuna kukubali ujinga hata kidogo. Maana mtu akishaapishwa tunarudi kule kule!
 
Hahah nikulipe mshahara,posho ya gari,kodi ya nyumba na bado umtangaze mpinzani ni mshindi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Kitabu wamekitunga wenyewe hata tafsiri ya yaliyomo inakuwa ngumu... nimemuelewa sana Lissu kwamba Tume lazima ipokee malalamiko kwanza either toka Serikali, Mgombea wa Urais ama Chama kilichoweka mgombea then Tume ikijiridhisha ndiyo imwandikie wito mtuhumiwa wakimweleza ni nani aliyelalamika na kalalamika kuhusu nini, na kavunja kifungu gani ya maadili - ili sasa mtuhumiwa afike kujieleza mbele ya Tume hiyo ya maadili.

Sasa kumwita mgombea kama unaita mbuzi nyumbani kwako hapa ndipo shida ilipo...!!
 
Kauli ya Mgombea wa CHADEMA Ndugu Lissu akiwa Serengeti Leo.

Amesoma kanuni zilizoandaliwa na tume zinataka mlalamikaji apeleke malalamiko kwa utaratibu uliowekwa na Tume yenyewe ambao umekiukwa.

Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi ni kauli ya mtandaoni na sio njia rasmi ya kuwasilisha malalamiko.
Naunga mkono
 
Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo
Too late. ........ njia waliyobaki nayo sasa ni moja. Kwa kuwa Mwenyekiti wa Tume akinatangaza matokeo ndiyo final .... Yohana akae mkao wa kula tu akihope Mwnyekiti wa Tume kichaa hakiandi na kujitangazia tofauti na matarajio yake!!
 
Kauli ya Mgombea wa CHADEMA Ndugu Lissu akiwa Serengeti Leo.

Amesoma kanuni zilizoandaliwa na tume zinataka mlalamikaji apeleke malalamiko kwa utaratibu uliowekwa na Tume yenyewe ambao umekiukwa.

Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi ni kauli ya mtandaoni na sio njia rasmi ya kuwasilisha malalamiko.
Mimi si mshabiki wa siasa lakini katika hili nasimama na Lissu.

Hii tabia ya kupangiana mambo namna hii ni ya kijinga sana.
 
Akijifanya mjanja atafutwa kama upepo

Upepo haufutwi hata kidogo. Jaribu kufikiri kabla ya kuandika.

HAWAWEZI KUMFUTA NG'OO!

IWE MVUA AMA JUA KILA GOTI LA MWANA-CCM akiwemo MAGUFULI lazima lipigwe mbele ya Tundu Lissu siyo mwakani bali ni mwaka huu Oktoba 28, 2020!

Kama Risasi za AK47 na SMG 38 hazikuweza kumfuta, kipi kingine kinaweza kumfuta TL? Mahera? NEC? au nani?
 
Lissu ni next level Kisheria. Sioni WA kumuhoji pale NEC.
 
Back
Top Bottom