Tumeccm NECCCM ni chombo binafsi cha CCM na hakifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba bali hufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMHuyo mzee ambae hata kuongea hawezi, maneno yanashindwa kutoka mdomoni, inaonekana hata kiswahili hajui vizuri ndio wakumuhoji Lissu?.
Wameuwasha moto wacha waungue vidole vyao vya kuchawiDuuh! Huyu genius Lisu ataisumbua Sana hii tume
Hawana tofauti na bakwataTumeccm NECCCM ni chombo binafsi cha CCM na hakifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba bali hufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Safari hii CCM inaenda na maji ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania walikuwemo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri mabutu Iddy Amin dada leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoKwa wenye Akili Tushatambua Rais ni Nani ....Tunachosubiri ni sherehehe na Gwaride Sijui itakuwa Dodoma Tulipoanzia Campeni Hahaha Raha Sana Kuwa CCM wakati Anaapishwa Mzee MAGU Wahuni CHADEMA watakuwa wanachezea Virungu na Maji ya Kuwasha wakisikilizia sauti kwa mbaaliiiii inasema ....MIMI JOHNE POMBE MAGUFULI NAAAPA.....KUILINDA NA KUIHESHIMU KATIBA YA TANZANIA
NAHISI LISSU HII HOTOBA ATAISIKILIZIA AKIWA LUMANDE HAHAHA ........
Hiki chama kinahitaji kife na kizikwe. RIP CCMSafari hii CCM inaenda na maji ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania walikuwemo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri mabutu Iddy Amin dada leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
Tumeccm NECCCM haifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali inafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCMMimi si mshabiki wa siasa lakini katika hili nasimama na Lissu.
Hii tabia ya kupangiana mambo namna hii ni ya kijinga sana.
NECCCM Tumeccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMSheria ndo inataka hivyo, chama kinalalamika kwa tume, chama knacholalamikiwa kinajibu kwa niaba ya mgombea. Mgombea anaendelea na kampeni zake maana aliyemdhamini mgombea ni chama.
Sijui kama NEC ina wanasheria, au mwanasheria wao ni Polepole
Ndio mkuuHivi alikuwa lecturer wa UDSM ?
fata sheria uliotunga mwenyewe lissu atakwenda toa elimu kwa hii tumeccmMbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Hata Membe mlikuwa mnamwambia hivi hivi,
Leo yupo analia pekeake
Mpaka uchaguzi uishe kuna watu suruali itabidi wakapunguzishe viuno maana washakonda kwa huyu kuimbe lisuMgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!
=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?
=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.
UPDATE:
Tundu Lissu anasema hadi sasa hajapokea tuhuma zozote kutoka Tume ya uchaguzi wala mgombea yoyote au chama chochote cha siasa.
“NEC kama wana tuhuma dhidi yangu ( Lisu) basi wanapaswa kuzileta kimaandishi nami nitakuwa na saa 48 za kujibu kimaandishi kwa mujibu wa kanuni”, amemalizia Lissu.
Itakuwa alihusika kuhonga ile phd feki ya jiweNdio mkuu
Wamkate tu, kwani kuna tatizo??
Nani aliekuroga🤭Mkuu hawa ni kuenda nao sambamba maana wanajiaminisha USHINDI wakati wanajua fika hawatashinda.
JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Nilimuona kwa macho yangu kupitia tv,walahi,wabilahi,anasema MUNGU OYEE!Hivi kweli jamaa anasemaga "Mungu oyee" au wanamuwekea maneno mdomoni? [emoji3]
Daaah,, Mungu atusaidie sana kwa kweliWenye upeo mara nyingi huwa hawazingatiwi.
Wanaopeta ni hawa dhaifu wasiojua hata Kiswahili kama akina magufuli.
Ni bahati mbaya sana!