Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Huyo mzee ambae hata kuongea hawezi, maneno yanashindwa kutoka mdomoni, inaonekana hata kiswahili hajui vizuri ndio wakumuhoji Lissu?.
Tumeccm NECCCM ni chombo binafsi cha CCM na hakifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba bali hufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Hivi Watanzania tumerogwa na nini?

Tumepata bahati hii, mtu mwenye upeo mkubwa hivi. Lakini bado hatuoni.

Nahisi Nyerere kafufuka.

Haya mambo ukikaa ukitulia utagundua TUNDU LISSU yupo sahihi ndugu zangu.
 
Kwa wenye Akili Tushatambua Rais ni Nani ....Tunachosubiri ni sherehehe na Gwaride Sijui itakuwa Dodoma Tulipoanzia Campeni Hahaha Raha Sana Kuwa CCM wakati Anaapishwa Mzee MAGU Wahuni CHADEMA watakuwa wanachezea Virungu na Maji ya Kuwasha wakisikilizia sauti kwa mbaaliiiii inasema ....MIMI JOHNE POMBE MAGUFULI NAAAPA.....KUILINDA NA KUIHESHIMU KATIBA YA TANZANIA

NAHISI LISSU HII HOTOBA ATAISIKILIZIA AKIWA LUMANDE HAHAHA ........
Safari hii CCM inaenda na maji ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania walikuwemo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri mabutu Iddy Amin dada leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Safari hii CCM inaenda na maji ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania walikuwemo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri mabutu Iddy Amin dada leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
Hiki chama kinahitaji kife na kizikwe. RIP CCM
 
Mimi si mshabiki wa siasa lakini katika hili nasimama na Lissu.

Hii tabia ya kupangiana mambo namna hii ni ya kijinga sana.
Tumeccm NECCCM haifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali inafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Sheria ndo inataka hivyo, chama kinalalamika kwa tume, chama knacholalamikiwa kinajibu kwa niaba ya mgombea. Mgombea anaendelea na kampeni zake maana aliyemdhamini mgombea ni chama.

Sijui kama NEC ina wanasheria, au mwanasheria wao ni Polepole
NECCCM Tumeccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
NECCCM Tumeccm wamepoteza sifa za kusimamia uchaguzi wanaandaa uchakachuaji na kuleta vurugu Nchini ni vyema mkurugenziccm wa Tumeccm afunguliwe kesi ICC kuepusha uvunjifu wa Amani
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini CCM wanachukua pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi kuzitumia kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi na uonevu unyanyasaji wa kila aina.Kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani.
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni

=====

=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!

=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?

=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.

UPDATE:

Tundu Lissu anasema hadi sasa hajapokea tuhuma zozote kutoka Tume ya uchaguzi wala mgombea yoyote au chama chochote cha siasa.

“NEC kama wana tuhuma dhidi yangu ( Lisu) basi wanapaswa kuzileta kimaandishi nami nitakuwa na saa 48 za kujibu kimaandishi kwa mujibu wa kanuni”, amemalizia Lissu.
Mpaka uchaguzi uishe kuna watu suruali itabidi wakapunguzishe viuno maana washakonda kwa huyu kuimbe lisu
 
Hii ngoma ngumu huu mwaka,vibaraka wanashindwa wamlinde vp vambaya wao.imekula kwao kiujumla.ngoma inachezwa na wrote wabaya bila kujijua
 
Back
Top Bottom