Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Tume inasema wanaoiongoza wasiwe wanachama wa vyama vya siasa mfano wa kuchekesha ni Jecha aliyetia nia kule Zanzibar ! Ni uthibitisho tosha kuwa Dk Shein alishindwa uchaguzi vibaya sana kipindi kile ila mbeleko ikambeba! Yani ni sawa na kesi ya kiboko apelekewe Mamba!
 
Kaaa chip kasha anza kuwasha asubiri atapelekewa tuu wakiona uwo umhimu aache kujihami
20200927_065640.jpg
 
Huyu bwana ni jeuri sasa mshabiki wake mwambieni aheshimu taratibu za kandanda naona anataka kunawa mpira kwa mara ya pili kwenye penalty Box.

Atulie ataarifiwa aache kutafuta public sympathy,maana pale jukwaani alipaswa kuzingatia diction of words yeye akahisi ni kupayuka tuu.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Back
Top Bottom