Tume inasema wanaoiongoza wasiwe wanachama wa vyama vya siasa mfano wa kuchekesha ni Jecha aliyetia nia kule Zanzibar ! Ni uthibitisho tosha kuwa Dk Shein alishindwa uchaguzi vibaya sana kipindi kile ila mbeleko ikambeba! Yani ni sawa na kesi ya kiboko apelekewe Mamba!