Anawapeleka kweli kweli.Tundu Lissu wapeleke mchaka mchaka [emoji23]
Hana muda mrefu, oktoba 28 itamuumbuaAnawapeleka kweli kweli.
Barua haijamfikia,tume wanakurupuka sana..Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Mnatapatapa.....NEC inajuta kumpitisha. Kumpitisha na kutompitisha ni shida tupu.Hana muda mrefu, oktoba 28 itamuumbua
Linawawasha wakajikuta wanasambua hivyo hivyo. LISSU havumiliki.ππBarua haijamfikia,tume wanakurupuka sana..
Barua itamfikia tu. Na nina uhakika akienda huko hatoweza kujibu maswali ya huyo mzee wa NEC. Maana anaonekana kuwa na hekima sana.Barua haijamfikia,tume wanakurupuka sana..
Akahojiwe au akawahoji?? Kuna mtu kwemye hiyo timu ya wala rushwa ina uhalali wa kumhoji LISSU?Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Wewe endelea kumpa kichwa tu. Yetu macho.Mnatapatapa.....NEC inajuta kumpitisha. Kumpitisha na kutompitisha ni shida tupu.
He is a victor.
Baki na macho yenu hayo hayo. Mwkaa huu mtalalamika sana mmeahakuwa wapinzani kabla ya uchaguzi.Wewe endelea kumpa kichwa tu. Yetu macho.
NEC wanaishia kutoa milio tuNgoma imepata mchezaji, hiki chuma kinahitaji moto mkali kukiyeyusha.
Tatizo moto huo haupo
Unamjua Lissu au unamsikia?Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Haahaa jpm ndo kabisa, bado najiuliza uzalendo was jpm uko wapi? Eti mkichagua wapinzani siwaletei maendeleo, kwani kule kwenye wapinzani hakuna ccm?Linawawasha wakajikuta wanasambua hivyo hivyo. LISSU havumiliki.ππ