Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Hatuwezi kulalamika kwamba NEC Sio huru kwa kuwa wateule wake wote wanateuliwa na Rais (mgombea wa CCM) WAKATI HUOHUO tumekubali kuingia na kuendelea na uchaguzi. Tunatarajia nini? Ruzuku labda.

Wapinzani baada ya Nov 2020 (CHADEMA au CCM) msikubali kamwe kuingia tena kwenye uchaguzi mwingine wowote na mhakikishe hii Tume inafutwa na kuundwa upya kwa matakwa yenu na ya walio wengi. Otherwise mtaendelea kuwa wapinzani daima dumu.

Hata huko kwingine ambapo Wapinzani waliingia Ikulu (Ghana, Malawi, Nigeria etc...), Tume zao ilibidi zivunjwe kwanza na kuundwa upya na hii haikuja tu kwenye silver plate.
Mwenye mamlaka ya kuvunja , kukupa katiba mpya kama hayuko willing kufanya hivyo unafanya nini? kugoma kushiriki uchaguzi??
 
Mwenye mamlaka ya kuvunja , kukupa katiba mpya kama hayuko willing kufanya hivyo unafanya nini? kugoma kushiriki uchaguzi??
Kuna options. We may need to learn and copy what others did. Kama hatutaki na tumeamua kuingia kwenye chaguzi basi tusilielie sana. Ni bora kupiga kelele sana mapema (Bungeni..) kuliko sasa. It is late.

Again, Tume Huru na Katiba mpya “hupewi” tu kwa matakwa ya mtawala anayeenjoy status-quo
 
sioni hata wafuasi wanashangilia kitu gani??sijui ndio ile kila kitu kinawaletea tumaini maskini???


barua lissu itamfikia tu,na ana haki ya kujibu kimtandao kama ambavyo amesikia kimtandao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni kulialia battle ndio inapamba moto, labda mniambie mlikuwa mnatania kabisa mnafikiri Chadema watashinda? Kwamba haumjui CCM ndio qwiji wa siasa za Tanzania chama chenye mikakati kuliko vyama vyote Africa?

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Kwani wewe upo CCM ya zamani au CCM mpya? Mnatuchanganya sana.
 
Kwani wewe upo CCM ya zamani au CCM mpya? Mnatuchanganya sana.
Utakavyo amua wewe ila mimi yangu ni hii CCM ambayo mgombea wake ni JPM.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Bado najiuliza, hivi tume walikuwa na haja ya kutangaza ile barua mitandaoni? Hii tume itatuharibia mambo mengi sana, toka wameengua wagombea wa upinzani kwa sababu za kizembe nimewapuuza..
Tume wana lao jambo, hata msajili alipo ionya Chadema na act kuhusu ushirikiano walitoka hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, walipoulizwa kuhusu TLP/UDP na CCM wakajitetea ati walimuita Mrema na kumuonya. Sasa swali ni je mbona wao TLP msajili hakuwaita kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kama wanavofanya kwa Chadema na Lisu?

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Mgombea Urais kupitia Chadema amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao
Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni

=====

=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!

=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?

=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.

Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
Back
Top Bottom