Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Susieni kama mlivyofanya kwenye ule wa Serikali za Mitaa. Tume ipo huru, kwa mujibu wa sheria na sio kwa mujibu wa chama cha Mbowe.
 
Acha ujinga sheria gani hiyo...

Wafate taratibu sio kulopoka tu.. Halafu TL Haogopi kwenda hilo linajulikana, wao wajipange tu kuulizwa wao.
Ujinga wako utakoma utakapomuona kesho baba yako kaitikia wito! Tatizo sio uoga, yeye aende kujua ni vipi kaitwa! Kwa werevu wake, huenda akawasaidia pia!
 
Barua ya mkurugenzi wa tume ukiiconect dot imeandaliwa na haraka haraka rejea press conference aliyoifanya Ni copy na paste. Eti atauza madini yetu kwani Sasa hayauzwi.
 
Kuna rafu nyingi sana amefanya Magufuli na tume wamekaa kimya hasa kwenye gharama za uchaguzi.

Lissu akifika kwenye hicho kikao chao cha maadili atawapiga maswali hao makada wa tume mpaka wachanganyikiwe.

Hiyo tume yote ni makada wa chama. Na wanajulikana kupitia video mbalimbali wakiwa kwenye vikao vya ndani vya CCM. Kwahiyo Lissu anawajua na sisi tunawajua.

Huyo Mahera ni kada kweli kweli.
 
Huyu mtu ana nia ovu juu ya taifa letu,usalama wa taifa wako wapi,mbona huyu mchache sana
 
Tume hii iliposhirikiana na CCM kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na hata kupelekea m/ kiti wa CCM taifa kutamka hadharani kuwa hata kususia uchaguzi Ni moja ya demokrasia, wananchi walikaa kimya wakijua kuwa CCM wataifanya kuwa ni tabia yao kuiba kura.
Swali Ni moja kwani maandamano si njia moja wapo ya kidemokrasia?

CCM mmewadaharau Sana wananchi na mnataka kujifanya miungu watu. Safari hii atakayevuruga uchaguzi atatuambia vizuri ni Nani aliye mtuma.unyanyasaji ndani ya nchi yetu uliishia 2019, tuna sema sasa basi tutadai haki Hadi ipatikana kwa namna yoyote watakavyo taka CCM na tume.
 
Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapiga kura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali bado tume hawayaoni hayo.
Ndio maana Tume hii haiheshimiki!
 
Wewe endelea kumpa kichwa tu. Yetu macho.
Ungekuwa na Akali ambazo sio tegemezi wa rushwa unge elewa kuwa hakuna wa kumhoji Tundu Lissu!

Nyie watu ambao mme lelewa na pesa za rushwa ama mnaishi kwa pesa za rushwa mta tengeneza vizazi vyenu vya honvyo na vyenye laana mwisho wa siku vina kuja kuishia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya!

Hakunaga shortcuts iliyowahi kukiacha kizazi chochote salama!!
 
JF IMEJAA MICHADEMA HADI KERO NA LOG OUT JF MPKA TAR 29
Mkuu hawa ni kuenda nao sambamba maana wanajiaminisha USHINDI wakati wanajua fika hawatashinda.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Nnayo hakika ya utimamu wa Mh Lissu ,kama Tume hawakufuata utaratibu ktk kumuita mgombea basi wafuate utaratibu na sio kuitana kihuni tu.Tunatishwa kila Siku kwenye kampeni na Mgombea CCM Mh Mkuu wa Nchi kuwa tukichagua Upinzani hatotuletea maendeleo.Mbona huyu haitwi wala kukemewa !!!?
View attachment 1583142
Kwanini tume hawamuiti Jiwe naye aje ajieleze, siasa za chuki hizi!
 
Back
Top Bottom