n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Susieni kama mlivyofanya kwenye ule wa Serikali za Mitaa. Tume ipo huru, kwa mujibu wa sheria na sio kwa mujibu wa chama cha Mbowe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wako utakoma utakapomuona kesho baba yako kaitikia wito! Tatizo sio uoga, yeye aende kujua ni vipi kaitwa! Kwa werevu wake, huenda akawasaidia pia!Acha ujinga sheria gani hiyo...
Wafate taratibu sio kulopoka tu.. Halafu TL Haogopi kwenda hilo linajulikana, wao wajipange tu kuulizwa wao.
Susieni kama mlivyofanya kwenye ule wa Serikali za Mitaa. Tume ipo huru, kwa mujibu wa sheria na sio kwa mujibu wa chama cha Mbowe.
Alitoa taarifa kwa nani? Tumia akili, yeye Leo summons atapokea!Hizo sheria zilikuwa wapi kipindi Lissu anatoa taarifa ya kufuatiliwa na watu wasiojulikana ?
Alitoa taarifa kwa jeshi la polisi mtandaoni kama ambavyo yeye amepewa wito mtandaoni, una swali lingine?Alitoa taarifa kwa nani? Tumia akili, yeye Leo summons atapokea!
Ndio maana Tume hii haiheshimiki!Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapiga kura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali bado tume hawayaoni hayo.
Ungekuwa na Akali ambazo sio tegemezi wa rushwa unge elewa kuwa hakuna wa kumhoji Tundu Lissu!Wewe endelea kumpa kichwa tu. Yetu macho.
Kwa hivyo we ukisoma hapa jf kuwa unahitajika kituo cha polisi mwenge utaenda?Huyu bwana ni jeuri sasa mshabiki wake mwambieni aheshimu taratibu za kandanda naona anataka kunawa mpira kwa mara ya pili kwenye penalty Box...
Mkuu hawa ni kuenda nao sambamba maana wanajiaminisha USHINDI wakati wanajua fika hawatashinda.JF IMEJAA MICHADEMA HADI KERO NA LOG OUT JF MPKA TAR 29
Kwanini tume hawamuiti Jiwe naye aje ajieleze, siasa za chuki hizi!Nnayo hakika ya utimamu wa Mh Lissu ,kama Tume hawakufuata utaratibu ktk kumuita mgombea basi wafuate utaratibu na sio kuitana kihuni tu.Tunatishwa kila Siku kwenye kampeni na Mgombea CCM Mh Mkuu wa Nchi kuwa tukichagua Upinzani hatotuletea maendeleo.Mbona huyu haitwi wala kukemewa !!!?
View attachment 1583142