Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.

Wanahekima gani hadi mkurugenzi amejisahau anapiga kampeni at wananchi wanataka barabara sasa kama anajuwa wanachotaka wananchi kwanini asigombee nayeye aache kujivika ukurugenzi huku ni kada wa mbogamboga
 
Yuko sasa. Hawezi kufuata maelekezo ya wajinga mitandaoni.
 
Mgombea wa chama twawala mr phd anaweza kuandika hivi? Maana ni msomi zaidi ya Lissu akiwa amejikita katika maganda ya korosho
I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign.

I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Bado najiuliza, hivi tume walikuwa na haja ya kutangaza ile barua mitandaoni? Hii tume itatuharibia mambo mengi sana, toka wameengua wagombea wa upinzani kwa sababu za kizembe nimewapuuza..
Tume yaonekana wameanza kucheza ngoma ya Lissu; ni kweli kama wamemwita ilikuwa kuna haja ya sisi kujua hayo yote? hayo ni mambo yao wenyewe kati ya Mgombea wao na Tume nyenyewe, maadili ni ya pande mbili, Sisi wananchi tulikuwa na umuhimu wa kujua kwamba wanamwita ? tukishajua then iweje ?

Hata hivyo barua za wito huwa kwa dispatch na mpaka yeye mwenyewe athibitishe kupokea kwa signature, sasa barua yenyewe imepotelea wapi? maana yeye anasema haijafika kwake.

Shughuli pevu!!
 
Huyu mtu ana nia ovu juu ya taifa letu,usalama wa taifa wako wapi,mbona huyu mchache sana
Hao usalama wenyewe wanapenda mtu anaeongea ukweli hakuna usalama ataemchukia lisu labda wale wanaopeana tu ila usalama wa kweli hupenda haki ,amani ,furaha
 
Kuna options. We may need to learn and copy what others did. Kama hatutaki na tumeamua kuingia kwenye chaguzi basi tusilielie sana. Ni bora kupiga kelele sana mapema (Bungeni..) kuliko sasa. It is late.

Again, Tume Huru na Katiba mpya “hupewi” tu kwa matakwa ya mtawala anayeenjoy status-quo
Lazima kuwe na sababu, i think ndio tunaelekea huko huko

ni swala muda tu
 
utakuja kuskia amezuiliwa siku 7 asifanye kampeni kwa kudharau wito wa tume
 
Kwamza kawatega tayari. Amesema hajapata sumonns. Tayari huu ni mtego wakimwandikia tu tayari wamejifunga wenyewe Mana summons siyo kazi ya NEC bali mahakama au polisi. Kwa hiyo wakimwandikia watakuwa wamejishtaki wenyewe na atawafunga. Pili wasipomuandikia haendi atasema hajapata wito wowote. Akili kubwa!!
 
Tii sheria bila shuruti bhwana
Kweli kabisa mkuu ila kwa utaratibu mahalim,sio kiolela, napenda Sana misimamo ya mh lissu ,Kuna Mambo mengi ya kujifunza kwake,kwamba simamia unachokiamini mpa mwisho wa dam yako,hakuna sababu ya kusubili kufa kwa malaria,kufa kwa Jambo ambalo taifa litakukumbuka na dunia,kufa kifo ambacho ukilala watanzania wanajua umepumzika sio unapumzika hata ndani ya kata yako hata jina halijulikani ,kataa hili kwa nguvu zote
 
Screenshot_20200928-114454.png
Screenshot_20200928-114506.png
 
Barua itamfikia tu. Na nina uhakika akienda huko hatoweza kujibu maswali ya huyo mzee wa NEC. Maana anaonekana kuwa na hekima sana.
[/QUOTE Vipara vingine havina busara, ni njaa tu au vinanyonyolewa na mizigo ya kichwani ya kila siku.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao
Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni

=====

=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!

=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?

=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.

Kwa wenye Akili Tushatambua Rais ni Nani ....Tunachosubiri ni sherehehe na Gwaride Sijui itakuwa Dodoma Tulipoanzia Campeni Hahaha Raha Sana Kuwa CCM wakati Anaapishwa Mzee MAGU Wahuni CHADEMA watakuwa wanachezea Virungu na Maji ya Kuwasha wakisikilizia sauti kwa mbaaliiiii inasema ....MIMI JOHNE POMBE MAGUFULI NAAAPA.....KUILINDA NA KUIHESHIMU KATIBA YA TANZANIA

NAHISI LISSU HII HOTOBA ATAISIKILIZIA AKIWA LUMANDE HAHAHA ........
 
Spana za Lissu zimewabana wanahaha kwa kila namna. Chakubanga kila uchwao anajitutumua kufanya press kupunguza moto maana kuuzima hawawezi ila kaangukia pua watu hatuelewi!

Hivi kwanini Lissu hakugombea yeye 2015 jamani? Sasa hivi ndio naamini, yalikuwa makosa sana kimkakati kumpa nafasi ya kugomb gggea bwana yule. Huyu ndiye mpinzani sasa, huyu ndiye anayepaswa kupewa kura zetu za Urais.
Narudia tena. Lisu ni mpango wa Mungu. Yale majereha ya septemba 7 2017 ni nyenzo iliyomkuta Isha Lisu na Amnesty international, European union, American Senetors, International Criminal Court pamoja na mabunge ya Ujerumani, Ubelgiji n.k. Majereha ndio yamempa access ya kuingia makubaliano na Robert & Amsterdan na yote hayo ndiyo yametoa nafuu ya Tundu Lisu kuweza kupinga kampeni mpaka kufikia hatua hii aliyopo. Hata hivi vitimbi vya NEC Mungu kesha vipatia majawabu. Kwa hiyo 2015 haikuwa wakati muafaka.
Vilevile ilibidi kuwepo na kitu cha kuchochea watu waunge mkono wimbi la kampeni za Lisu za 2020, kitu kimetengenezwa na hofu ya maisha na ugumu wa maisha ya watanzania yaliyowapata tangu 2016. 2020 ni muda muafaka.
 
Back
Top Bottom