Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

Lissu alieko huko KU Leuven haimuhusu kujua mh raisi yupo wapi, yeye aulize Alexander De Croo yupo wapi na sio jpm
 
KILA ATAWALAYE KWENU AMEKUWA ASIYEFAA, NANYI MWAONGOZWA NA UBINAFSI WENU, KILA MMOJA WENU AKITAMANI WA KWAKE AWE. NAYE MUNGU MWAMKATAA, MKIONGOZWA NA TAMAA ZENU.

Mambo ya Walawi 26
14 Lakini msiponisikiza, wala hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote;
15 nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia hukumu zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu;
16 mimi nami nitawatenda jambo hili; nitaamrisha uje juu yenu utisho, hata kifua kikuu na homa, zitakazoharibu macho yenu, na kuidhoofisha roho; nanyi mtapanda mbegu yenu bure, kwa kuwa adui zenu wataila.
17 Nami nitauelekeza uso wangu kinyume chenu, nanyi mtapigwa mbele ya adui zenu; hao wawachukiao watatawala juu yenu; nanyi mtakimbia wakati ambao hapana awafukuzaye.
18 Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
19 Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba;
20 na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake.
21 Nanyi ikiwa mwaenenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo
 
Umesahau kuweka namba ya simu ili nikuteue
 
Bwana mkubwa sijui kwanini siku moja hajitokezi kuwakumbusha wanaopiga kelele za kumtaka aongeze muda wa utawala, kuwa yeye ni muumini wa katiba....
The truth is: He is not credible even if he denies it openly.
 
Yupo anaendelea na majukum yake kama kawaida huku akiendelea kupiga nyungu
 
Wewe unayempinga Lissu una ushahidi upi kwamba tuhuma hizo ni za uongo ? kwa taarifa yako njama zote zilizopangwa zimevuja
Mbona mbowe alibadili katiba na kuondoa ukomo wa mwenyekiti kugombea? Shida ipo wapi? Kama mbowe yupo madarakani miaka 20, Magufuli tutashindwa nini kumpa 15 yrs? Si kubadili katiba tu kama mbowe... Kumbe mkuki kwa binadamu...

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
 
Yap.

Huyu boya anaviajenda vyake anawasilisha. Eti anajiamini, so?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…