Tundu Lissu, too late a hero!

Hujasema kitu mkuu, soko huria ni policy yetu muda sasa.
Mengine uliyogusia ni just details in a particular field.

Sera ya majimbo bado hamjaielezea kwa kina chake na mpangilio wa kisiasa.
 
Unaweza kutuambia alimuua nani? Tupe na ushahidi tafadhali
 
Sikubaliani na hiii:-
"It a stupid coreliation" au ulimaanisha "It is a stupid correlation"?
Huenda uelewa wako wa lugha za watu ulikusababishia matatizo Hadi ukaamua kurejea kwenu! Pole Sana kwa Hilo, Ila usiitumie lugha ya watu kuandika humu kwani unaniaibisha Mimi!
 
Nimeandika kwa haraka nikiwa kwenye basi.
Lakini kwa akili yako umeelewa au la?
 
masopakyindi anataarifu Mh. Tundu Lissu karudi kimya kimya! Hapo hapo masopakyindi adai mapokezi yake kuwa LUKEWARM!

Naam, kuna kitu hakiko sawa kwa idadi kubwa ya Watanzania! CCM kwa hakika imeiharibu hii nchi kwa kiwango cha kutisha!

Ni Tanzania tu idadi kubwa ya watu wenye vyeti ndio hao hao wenye uelewa mdogo katika mambo ya kawaida kabisa.
 
Nani kakwambia mama anakubalika? Anachofanya ni kuwahonga chadema wamuunge mkono 2025 huku akiwa anasaliti ccm kwa kutosa sera ya kujali umma na wanyonge ya ujamaa na kujitegemea.
 
Jiridhishe na nyakati alizorudi Lissu.
Lukewarm aliporudi mara ya kwanza, halafu akatolomea zake bila kuaga.

Kimya kimya alivyorudi sasa hivi, hata hatujui karudi lini.
 
Tumelisema hili watu wanafikiri tunaota.
Lissu is irrelevant.
 

..tatizo ni Lissu kuanza kukutana na wananchi.

..Lissu angepumzika nyumbani kwake usingesikia hizi kelele.

..kuna watu wana HOFU na elimu ya uraia anayoitoa Lissu huko anakopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…