masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #21
Washenzi ndo nani?Lissu ni shujaa mkubwa wakati wote, mtu adimu, the legend. Aliyetaka kumuua yeye kafa, Lissu anaishi! Washenzi mjifunze kitu hapa1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washenzi ndo nani?Lissu ni shujaa mkubwa wakati wote, mtu adimu, the legend. Aliyetaka kumuua yeye kafa, Lissu anaishi! Washenzi mjifunze kitu hapa1
Mkuu Ulaya wananchi wananafuu ya maisha kuliko Tanzania na viongozi wao wanakazi rahisi kuliko Tanzania lakini bado kuna mchuano mkubwa sana wakati wa uchaguzi...![]()
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.
Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.
Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.
Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.
Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.
Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Unamfuatilia kwa juhudi,nguvu na hadi uwezo wa akili yako ilipoishia.Hongera sana!![]()

Nani kakwambia atu Ulaya wananchi wana nafuu kuliko Tanzania.Mkuu Ulaya wananchi wananafuu ya maisha kuliko Tanzania na viongozi wao wanakazi rahisi kuliko Tanzania lakini bado kuna mchuano mkubwa sana wakati wa uchaguzi...
Ondoa ujinga kichwani mwako lakini waonee waTanzania wajinga kama wewe huruma kwanini wanafanywa wajinga siku zote na CCM?
Inasikitisha sana
Washenzi ndo nani?
[emoji1787][emoji1787] nawewe bilashaka Magufuli anakujia usingizini, kwani ukiandika bila kumtaja utaonekana mjinga?.![]()
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.
Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.
Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.
Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.
Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.
Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Kwa nini unakuwa kaongo hivyo?Kwamba umasikini wa Ulaya unauzidi wa Afrika?Nani kakwambia atu Ulaya wananchi wana nafuu kuliko Tanzania.
Lissu mwenyewe kakaa huko anatamani kurudi.
Lema vile vile.
Ulaya oma ussikie mimi nimeishi huko nyie mnaotaka kwenda kufanya menial tasks ndo mnafikiri ulya poa.
Jiongelee wewe mwenyewe na usivyofit katika maisha ya huko.Kwa nini unakuwa kaongo hivyo?Kwamba umasikini wa Ulaya unauzidi wa Afrika?
Umejibu swali au umelitupa lijihangaikie?Acha uongo masikio ya bata!Jiongelee wewe mwenyewe na usivyofit katika maisha ya huko.
Utaishi ulaya kwa kazi gani unayoweza kujiajiri au kuajiriwa, tuanzie hapo.
Nyie ndio mnaoshindwa kuelewa darasani na si ajabu umahiri wako kielimu ni mdogo sana.na wote wanaofikiri Magufuli alikuwa mtu mzuri. Muuaji mkubwa na wote wanaoamini alikuwa mzuri na kumtetea ni washenzi wakubwa! Msitoneshe vidonda vyetu, watu tumeteseka na kupoteza mengi kwasababu ya ushenzi wa huyo mtu halafu mnafanya masihara hapa, washenzi wakubwa!![]()
Hujajibu kijibomu nilichokurushia.Umejibu swali au umelitupa lijihangaikie?Acha uongo masikio ya bata!
Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.masopakyindi ,
..labda niulize; Je, aina ya katiba na mfumo wa utawala anaopigania Lissu una madhara kwa Watanzania walio wengi?
..Kama anachopigania Lissu ni kitu kibaya kwa Watanzania, then nitakubaliana na wewe kwamba he is irrelevant.
..Kama anapigania jambo ambalo ni la faida kwa nchi, basi he is relevant, na tunawajibika kumuunga mkono.
Mfumo mbadala upo sana tu, lobbyists mbona wapo? Na ndio wanatumika kulinda maslahi ya makundi kadha wa kadhaa hawategemei political system ila target ya key decisions makers!!Ufisadi si siasa, ni swal la utawala bora.
Na hata wewe mwenyewe huna mbadala wa kisiasa nchini zaidi ya mfumo ulimo kulia.
Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.
Siasa ni dira, na sijaisikia toka kwa mtu yeyote zaidi ya sera za Majimbo.
Nitafute nikwambie kama jpm yupo kaburini au nini kipo mle ujue dunia hii vizuri na sio kumfuata kila mpuuzi anayekuja na propaganda zake.Hujajibu kijibomu nilichokurushia.
Kwenda kufagia barabara ulaya noma sana.
Acha uongo sera za Chadema ni uchumi wa soko huria;Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.