Tundu Lissu, too late a hero!

Tundu Lissu, too late a hero!

OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Mkuu Ulaya wananchi wananafuu ya maisha kuliko Tanzania na viongozi wao wanakazi rahisi kuliko Tanzania lakini bado kuna mchuano mkubwa sana wakati wa uchaguzi...
Ondoa ujinga kichwani mwako lakini waonee waTanzania wajinga kama wewe huruma kwanini wanafanywa wajinga siku zote na CCM?

Inasikitisha sana
 
Unamfuatilia kwa juhudi,nguvu na hadi uwezo wa akili yako ilipoishia.Hongera sana!
 
Mkuu Ulaya wananchi wananafuu ya maisha kuliko Tanzania na viongozi wao wanakazi rahisi kuliko Tanzania lakini bado kuna mchuano mkubwa sana wakati wa uchaguzi...
Ondoa ujinga kichwani mwako lakini waonee waTanzania wajinga kama wewe huruma kwanini wanafanywa wajinga siku zote na CCM?

Inasikitisha sana
Nani kakwambia atu Ulaya wananchi wana nafuu kuliko Tanzania.
Lissu mwenyewe kakaa huko anatamani kurudi.
Lema vile vile.
Ulaya oma ussikie mimi nimeishi huko nyie mnaotaka kwenda kufanya menial tasks ndo mnafikiri ulya poa.
 
OIP.3_5yolqYLIYvqZw-oF5O_gHaE8

Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!

Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.

Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.

Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.

Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.

Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.

Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.

Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.

Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
[emoji1787][emoji1787] nawewe bilashaka Magufuli anakujia usingizini, kwani ukiandika bila kumtaja utaonekana mjinga?.
 
Nani kakwambia atu Ulaya wananchi wana nafuu kuliko Tanzania.
Lissu mwenyewe kakaa huko anatamani kurudi.
Lema vile vile.
Ulaya oma ussikie mimi nimeishi huko nyie mnaotaka kwenda kufanya menial tasks ndo mnafikiri ulya poa.
Kwa nini unakuwa kaongo hivyo?Kwamba umasikini wa Ulaya unauzidi wa Afrika?
 
masopakyindi ,

..labda niulize; Je, aina ya katiba na mfumo wa utawala anaopigania Lissu una madhara kwa Watanzania walio wengi?

..Kama anachopigania Lissu ni kitu kibaya kwa Watanzania, then nitakubaliana na wewe kwamba he is irrelevant.

..Kama anapigania jambo ambalo ni la faida kwa nchi, basi he is relevant, na tunawajibika kumuunga mkono.
 
47580.jpg
na wote wanaofikiri Magufuli alikuwa mtu mzuri. Muuaji mkubwa na wote wanaoamini alikuwa mzuri na kumtetea ni washenzi wakubwa! Msitoneshe vidonda vyetu, watu tumeteseka na kupoteza mengi kwasababu ya ushenzi wa huyo mtu halafu mnafanya masihara hapa, washenzi wakubwa!
Nyie ndio mnaoshindwa kuelewa darasani na si ajabu umahiri wako kielimu ni mdogo sana.
Kwanza unashindwa kusoma na kuelewa kilichoandikwa
Pili , principle za kijinga kuwa kila asiyemhusudu Lissu basi ni mtu wa Magufuli.
It a stupid corellation.
Wengi wameshindwa maisha kwa kuishi bila kufikiri.

Mtafua hadi chupi za wapendwa wenu wa kisiasa.
 
masopakyindi ,

..labda niulize; Je, aina ya katiba na mfumo wa utawala anaopigania Lissu una madhara kwa Watanzania walio wengi?

..Kama anachopigania Lissu ni kitu kibaya kwa Watanzania, then nitakubaliana na wewe kwamba he is irrelevant.

..Kama anapigania jambo ambalo ni la faida kwa nchi, basi he is relevant, na tunawajibika kumuunga mkono.
Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.
Siasa ni dira, na sijaisikia toka kwa mtu yeyote zaidi ya sera za Majimbo.
 
Ufisadi si siasa, ni swal la utawala bora.
Na hata wewe mwenyewe huna mbadala wa kisiasa nchini zaidi ya mfumo ulimo kulia.
Mfumo mbadala upo sana tu, lobbyists mbona wapo? Na ndio wanatumika kulinda maslahi ya makundi kadha wa kadhaa hawategemei political system ila target ya key decisions makers!!
 
Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.
Siasa ni dira, na sijaisikia toka kwa mtu yeyote zaidi ya sera za Majimbo.

..anatoa elimu ya uraia kuhusu mapungufu ya katiba tuliyonayo.

..particularly, Lissu anawaeleza wananchi jinsi Katiba ya sasa hivi inavyolea na kukomaza ufisadi ktk ngazi zote za utawala serikali kuu mpaka halmashauri.

..kuna Watz wengi, wasomi wazuri, wenye uelewa wa Katiba, Sheria, na utawala bora kuliko Tundu Lissu. Kwa bahati mbaya hawako tayari kuingia field kama Tundu Lissu na kuwaelimisha wananchi.
 
Sijazisikia sera za Lissu , n wengi mtandaoni wana mapenzi tu na hyo jamaa.
Siasa ni dira, na sijaisikia toka kwa mtu yeyote zaidi ya sera za Majimbo.
Acha uongo sera za Chadema ni uchumi wa soko huria;
Sera ya majimbo (Ugatuzi);
Kupunguza bajeti ya recurring Exp.
Katiba mpya;
PPP kwenye miradi ya kimkakati;
Energy mix kuanzia umeme wa solar mpaka upepo kucomplement hydro na LNG;
Private Sector-driven economy.

Haya yote ndio sera za Chadema na yanaongelewa Kila mkutano. Fuatilia mikutano inayoendelea nyanda za juu kusini, Kanda ya kati, na huko kigoma sio unakata JF unajifanya unajua sana wakati hata vitabu vya sera za Chadema hamna.
 
Back
Top Bottom