Lisu ni bush lawyer wa miaka yoteNimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?
Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.
Naweka video ya alichozungumza.
View attachment 2652209
Haisaidiiii. Mama huyuuuu watu vilaza kama nyie hamuwezi kuelewaa. Acheni mama awatengenezee maendeleo. KAZI yenu bar vichaa ni matusii tuuu. Tulisha wapuuuzaSamia ni shetani.
Shujaa wq kua watu, kupiga risasi, kubambikia kesi na kuteka? Yupo wapi leo shujaa au dictator uchwara???Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno
Mzanzibari anauza Tanganyika na wabunge vibaraka wanashangiliaNimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?
Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.
Naweka video ya alichozungumza.
View attachment 2652209
Tena huyo M7 afe kabla ya [emoji2380] hawajaanza kunyongwa, ili auone utamu wa kifo, pumbavuu zale.Tuingieni kwenye maombi Mungu atuamulie huu ugomvi na uzuri kitendea kazi (covid 19) kimerudi upyaaa,nasikia M7 hoi huko.
🤣🤣Kwa hiyo mimi na wenzangu tumeuzwa
Tena huyo M7 afe kabla ya [emoji2380] hawajaanza kunyongwa, ili auone utamu wa kifo, pumbavuu zale.
Samia hana huruma na wabara, ametutoa sadaka, huyu ni shetani.
Naunga mkono hoja yako. Pesa haijawahi kutosha hata siku moja. Ndiyo maana wenye pesa wanataka pesa zaidi na zaidi kwa gharama yoyote bila kujali walalahoi wamekula au la! Waambie hao wahishimiwa mjengoni kwa uzalendo wao wapunguze mishahara na marupurupu yao kidogo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa. utakiona cha mtema kuni, hatari ya kuitwa kwenye kamati...! Pesa huwa haitoshi na haijawahi kutosha. Alichonacho anataka zaidi na zaidi. Hiyo ni hulka ya mwanadamu.Hoja take kuwa ana pesa hawezi kuhongwa ni hoja mufilisi
Usimlinganishe Rango na wanasiasa wa Tanzania! Rango anaheshima zake!SUPIKA WA JUMBA AKISIMAMA KUPITISHA AZIMIO
BIBI RANGO
View attachment 2652220
View attachment 2652221
Kumbe Akili timamu mnazoooBandari zote zimekwenda na maji.
Tunadangnya sana hiki kitu bongo hakipo kingekuwepo mambo ya kiseng.e hii nchi yasingekuwepo huko TISS wanaanza kozi hv karibuni lakini wamekuwa recommended watu wakaida sana.Msihangaike hii nchi ina Baraza la usalama wa taifa!kama na wao wanaona SAWA basi tusihangaike coz wanajua nini wanafanya!!
Hukumwelewa na hujamwelewa Lisu. Ugomvi wa Lisu na Magufuli ulikuwa jwebye demokrasia na kufuata taratubu, sheria na katiba.Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno