Lakin nchi zote ambazo zina democracy kama USA wana vyama imara kama democracy na Republican. Unless otherwise tuwe na wagombea binafasi.Lakini vyama hivi tulivyonavyo, sidhani. Na CCM imechoka sana kwa sasa, ni kama ile ya 2010-2015, ya Kikwete.Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifa
Tatizo la Tz sio CCM au vyama vya siasa, bali ni watanzania wenyewe.Lakin nchi zote ambazo zina democracy kama USA wana vyama imara kama democracy na Republican. Unless otherwise tuwe na wagombea binafasi.Lakini vyama hivi tulivyonavyo, sidhani. Na CCM imechoka sana kwa sasa, ni kama ile ya 2010-2015, ya Kikwete.
Na wanafurahia sana Lissu kumchana Samia kwenye maswala ya kuuza bandari, kuhamisha wamasai kutoka Ngorongo, n.k.
FafanuaTatizo la Tz sio CCM au vyama vya siasa, bali ni watanzania wenyewe.
hakuna taasisi isiyo na makosa ila ccmu ni kansa kwa nchi , ukiwa mbishi leo kesho mjukuu wako atakuja kukuhoji mlikuwa mnafanya nn kipind ccmu wanauza nchiHilo suala la Muungano ni la siku nyingi sana toka mzee Nyerere akiwa hai, zilishaundwa tume nyingi sana, kutafuta, suluhu. Miongoni mwa tume maarufu ni tume ya Nyalali. Hakuna hoja ambaye ni ya maana kuwa, ni kitu kipya.
CDM wanashindwa kuwashawishi, watanzania kwa kuwa ni chama kisichokuwa na milengo kamili. Na, mm pia ni naona kuwa bado hakina hoja za msingi kuiondoa CCM. Chama chenyewe kimekuwa chama cha makando kando. Mfano, mwenyekiti wa chama amekuwa wa kudumu. Je, utaweza vipi kukosoa huku ukiwa, ww huna democracy. Mwaka 2015 walimsimamisha marehemu Lowasa. Lakin tayari walishawadanganya watanzania kuwa, alikuwa fisadi.
Kwa upande wangu naamini watanzania tunahitaji vyama imara, na visivyohitaji maslahi zaidi ili kuiondoa CCM. ACT na CDM sio vyama vya kutusaidia.
watanzania bado ni wajinga na ccmu wanashindiria kuua elimu na kuwanyima watu exposure ya dunia kwa kuwanyima haki ya kuomba uraia na hata waliokaa nje muda mrefu , ccmu kupitia media za ndani wamejenga taswira kuwa waliokaa nje ni vibendera vya mataifa ya mabeberuTatizo la Tz sio CCM au vyama vya siasa, bali ni watanzania wenyewe.
Zaidi yako wewe na Lissu nani mwingine anadai Tanganyika? Hiyo Lissu Kwanza mnafiki, mbona mwaka 2020 akiwa Mgombea Urais alienda kuomba kura Zanzibar? Si angegoma kwenda huko?Hii nchi inawahitaji akina Tundu Lissu wengi ili kuwaamsha Watanganyika kudai haki za za msingi.
Kuingoa CCM madarakani unahitaji, mikakati makini sana itayowaunganisha Watanzania wengi wapigie kura mbadala wa chama cha CCM. Mbadala ambao utakuwa tofauti. Wa kitaifa, utaopigania maslahi ya maskini na matajiri, makabila yote, dini zote, tabaka zote, kanda zote.Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifa
Mimi ndiyo maana siku zote nashauri huu Muungano ufikie tu tamati. Haiwezekani huku Tanganyika Wazanzibari wamejaa kila kona na pia kwenye idara na taasisi zote za serikali. Na wameajiriwa pasipo kubaguliwa kwa sababu tu ya Uzanzibari wao!
Hoja yako ina shida ya kimantiki, kwa mfano, katika nchi ambazo wagombea binafsi wanashinda uchaguzi, wananchi hutegemea vyama gani imara vya upinzani?Ili kupata wapiga kura imara, unatakakiwa kwanza upate vyama vya upinzani imara ili wapiga kura waviamini.
Wewe ndie una shida ya kimantiki.Hoja yako ina shida ya kimantiki, kwa mfano, katika nchi ambazo wagombea binafsi wanashinda uchaguzi, wananchi hutegemea vyama gani imara vya upinzani?
WABUNGE 80Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania
Tofautisha kabila na taifa, pia rejea Katiba ya Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinasema nini juu ya utaifa wa watu wao na mipaka ya nchi hizo mbili.Kumbe Wamaasai nao wana bendera ya taifa lao na Rais wao?
Basi sawa.
Kwa hiyo ww unashabikia CDM.?? Mwambie Mbowe kwanza, chama kiwe na democracy. Haiwezekani awe mwenyekiti wa kudumu. Ukitaka kuwa msafi anzia chumbani kwako.hakuna taasisi isiyo na makosa ila ccmu ni kansa kwa nchi , ukiwa mbishi leo kesho mjukuu wako atakuja kukuhoji mlikuwa mnafanya nn kipind ccmu wanauza nchi
AMKA MKUU KUSHABIKIA CCMU NI ISHARA YA KUTOKUWA NA UZALENDO KWA NCHI , CCMU YA LEO SIO ILE YA ZAMANI
Angalia wazee wa EAC hawajalipwa hela zao mpaka sasa, ila wanaogopa kutoka hadharani kudai mafao yao kisa hawataki kuochafua CCM.Watanzania tunadanganywa sana. Bandari haina tatizo, tatizo
Fafanua
Tafadhali mkuu! TANZANIA AIHITAJI CHAMA IMARA ILI IWE IMARA BALI INAHITAJI KATIBA BORA ILI IWE IMARA.Hilo suala la Muungano ni la siku nyingi sana toka mzee Nyerere akiwa hai, zilishaundwa tume nyingi sana, kutafuta, suluhu. Miongoni mwa tume maarufu ni tume ya Nyalali. Hakuna hoja ambaye ni ya maana kuwa, ni kitu kipya.
CDM wanashindwa kuwashawishi, watanzania kwa kuwa ni chama kisichokuwa na milengo kamili. Na, mm pia ni naona kuwa bado hakina hoja za msingi kuiondoa CCM. Chama chenyewe kimekuwa chama cha makando kando. Mfano, mwenyekiti wa chama amekuwa wa kudumu. Je, utaweza vipi kukosoa huku ukiwa, ww huna democracy. Mwaka 2015 walimsimamisha marehemu Lowasa. Lakin tayari walishawadanganya watanzania kuwa, alikuwa fisadi.
Kwa upande wangu naamini watanzania tunahitaji vyama imara, na visivyohitaji maslahi zaidi ili kuiondoa CCM. ACT na CDM sio vyama vya kutusaidia.
Maiti nyingine hiiAngekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?