Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Umesoma alichoandika niliyekuwa Ninamjibu?Tofautisha kabila na taifa, pia rejea Katiba ya Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinasema nini juu ya utaifa wa watu wao na mipaka ya nchi hizo mbili.
Sana!!!ila tuache uongo Lissu anajua mengi kuhusu hii nchi
Kwani wamasai n wazanzibar? Ww n jipu piaAngekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?
BROO NDO MAANA KUMBE HAWAKUTAKI... HAPA ULIONESHA UBAGUZI KABISA BWANA MKUBWA. RAIS NI RAIS BILA KUJALI KATOKA UPANDE GANI WA MUUNGANO."Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."
"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuvuruga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"
"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minjingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"
"Mimi nimetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"
Pia soma:
- Amos Makalla: Kauli zinazotolewa na Lissu ni hila, hazina Ukweli na zinaleta Ubaguzi
- Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani
- Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?
Usingeliliwa zwazwa usingelijibu au ungelijibu tofauti.Kwani wamasai n wazanzibar? Ww n jipu pia
Hujaelewa logic ya hiyo speech ya Tundu Lissu kwa sababu pengine akili na ufahamu wako ni sawa na wa mdudu panzi...BROO NDO MAANA KUMBE HAWAKUTAKI... HAPA ULIONESHA UBAGUZI KABISA BWANA MKUBWA. RAIS NI RAIS BILA KUJALI KATOKA UPANDE GANI WA MUUNGANO.
Daaah Mkuu una hasira balaa....Hujaelewa logic ya hiyo speech ya Tundu Lissu kwa sababu pengine akili na ufahamu wako ni sawa na wa mdudu panzi...
Context na muktadha wa speech ya mwamba huyu unajikita kuwaeleza na kuwafahamisha wananchi tatizo au madhaifu au ubovu wa huu unaoitwa "Muungano wa Tanganyika & Zanzibar..."
Muungano wetu maana yake ni nchi mbili zilizokubaliana kuungana ktk mambo fulanifulani tu..
Tanganyika na Zanzibar hazijaungana kwa mambo yote. Mojawapo ya mambo si ya muungano "u - Rais" au "uongozi wa nchi hizi mbili.."
Jiulize swali muhimu hili👇
Kwamba, inawezekana vipi raia wa nchi ya Zanzibar yenye wakazi (population) ya watu wasiofika hata 2,000,000 eti aje kututawala sisi Watanganyika tulio zaidi ya 64,000,000...?
Kama akili zako sio za panzi, hilo ☝🏻☝🏻wewe linakuingia akilini kweli...?
Sasa Je, sio kweli kuwa Muungano huu una kasoro na shida kubwa sana..?
Ndiyo maana Mzanzibari anaweza kutoka huko kwao na kuwa "Rais wa Tanganyika" na kisha kutumia weakness hii kuvuruga Watanganyika kama anavyofanya Bi Samia Samia Suluhu Hassan sasa...
Ameuza bandari zetu zote, mbuga zetu nyingi, mamilioni ya hekari za misitu yetu kwa waarabu kwa kuhongwa mapesa na hao wajomba zake ambayo anayapeleka kwao Zanzibar ili kuijenga nchi yake...
Wewe hulioni tatizo hili..?
Kama hulioni, basi wewe ni panzi tu asiye na akili wala ufahamu na ndiyo maana unaandika hoja zako kwa mwandiko wa herufi kubwa tupu...!!!
Absolutely, Yes...Daaah Mkuu una hasira balaa....
Sawa Mkuu.. All The best..Absolutely, Yes...
Huwa nachukia sana kwa mtu kama wewe kushindwa kuelewa jambo rahisi tu kama hili badala yake unatumia kutokujua kwako (ujinga) kueneza huo ujinga kwa wengine...
Watu wa namna hii don't deserve any respect from any wise man...
Kwa heri...
Laana hii, ya kumtukana jpm, kumtukana nyerere haiwezi kumuacha salama"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."