Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mkuu itakuwa ni aibu kubwa sana kwa taifa letu kumpa urais mtu mwenye ubinafsi,mlopokaji,hana staha wala uvumilivu,kila linalomwijia kwa bichwa lake yeye ni kulopoka tu.
Huyu urais atausikia kwenye bomba tu,na nawaambieni huyu kwa uchu wake wa madaraka anao uwezo wa kuanzisha hata vikundi vya uasi ili tu kuvuruga amani ya nchi
Najua fika hawezi kushinda anachofanya ni kutaka kuvuruga amani yetu,kwa aliyoyafanya ughaibuni yatosha .
Chama cha watu wa kasikazi,tunawasubiriHizo ndizo siasa anazoziita siasa Uchwara, Jibu hoja mkuu
Hata kuchukua form wote wataenda bila barakoa. Wakivaa kuanzia sasa ndio tutajua unafiki wa wanasiasa.Jamani jamani kama kuna corona kiasi hicho Lissu si angeanza kuvaa barakoa kuanzia siku alipofika hadi alipohudhulia mkutano mkuu wa kumteua kuwa mgombea urais daah.
Wewe acha bwana uwezo wa Lissu kutokufa baada ya kumwagiwa magazine nzima ya risasi Ni mkubwa mno.Alafu mtambue kitu kimoja,
Lissu mmempa attention kubwa kuliko uwezo wake , Hilo tu.
Hata kuchukua form wote wataenda bila barakoa. Wakivaa kuanzia sasa ndio tutajua unafiki wa wanasiasa.
Hiii ndio kazi mtakayo kua nayo mpaka uchaguzi unaisha kazi yenu itakua kutetea upuuz wa Mgombea wenu
Yeye amesema amesikia sikia huko kuna watu wanakufa.Ndugu yangu Tundu Lissu, tunaomba utambue kuwa pamoja na mivutano ya kisiasa tuliyonayo nchini, linapokuja suala la kimataifa ni lazima tuwe wamoja.
Naomba nikuulize katika wale waliokuja kukupokea uwanja wa ndege hakuna hata mmoja aliyevaa taulo la usoni, je umewahi kusikia kuna mtu kafa kwa korona.
Juzi ulikuwa kwenye mkutano mkuu wa chadema na umati wa wajumbe. .Je umewahi kusikia kuna mtu anaugua korona?
Siku iliyofuata ulikuwa kwenye mkutano mkuu wa ACT. Ulipokelewa vizuri kwa shangwe na kukumbatiwa...je kuna mtu umesikia ana korona?
Ni ukosefu wa uzalendo kuituhumu nchi eti watu wanakufa na korona na takwimu zinafichwa tena kwenye vyombo vya kimataifa na cha jirani yetu ambaye ni hasimu wetu wa kiuchumi....ni ukosefu wa uzalendo kwa nchi, ni uhaini mkubwa.
Tena wewe ilitakiwa ukae karantini siku za kutosha maana umezurura sana nchi zenye korona. Usije ukatuletea korona la kibeberu hapa.
Wewe unayemshukuru Mungu amekuponya na mauti, ndiye huyo huyo aliyetuponya na Korona. Usimdhihaki Mwenyezi Mungu...
Hili limeniuzi sana
Wajumbe oyee
Tundulisu huenda sio mzima kabisa hili linathibitishaNdio kasema hivyo? Salaalee mbona kwenye mikusanyiko yao hawabebi hata sanitaiza. Ama kweli huyu alikuwa anatuuza huko kwa mabeberu walahi.
View attachment 1528973
Wao ni Malaika corona haiwapat [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio kasema hivyo? Salaalee mbona kwenye mikusanyiko yao hawabebi hata sanitaiza. Ama kweli huyu alikuwa anatuuza huko kwa mabeberu walahi.
View attachment 1528973
Huenda sio Tundulisu yule mtanzania wetu labda mabeberu wamembadilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kichwa atakuwa alikiacha ubelgiji. Kweli nchi iwe na corona kwa kiwango anachoongelea halafu wanachadema waendelee kukutana bila tahadhari yoyote!
Unajua madhara ya yeye kutoa kauli ile kiuchumi. Hatuwezi kuipigania upinzani kwa kubomoa misingi ya nchi. Hili hapana.Yeye amesema amesikia sikia huko kuna watu wanakufa.
Mbona unatka kulisha watu maneno kuwa yeye ndio kasema?
Kweli kabisa mi mwenyewe naanza kuliona hili maana kuna mambo anaongea yanatia mashaka juu ya afya yake ya akiliHuenda sio Tundulisu yule mtanzania wetu labda mabeberu wamembadilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua madhara ya yeye kutoa kauli ile kiuchumi. Hatuwezi kuipigania upinzani kwa kubomoa misingi ya nchi. Hili hapana.