Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Yule bwana mwenye maadui 12 is far better than huyo jamaa yao.
 
Kuna sehemu humu nilisema Lissu is emotionally unstable, he is clouded by emotions.
He does and speak things without reasoning properly.

Leo #Lissu_katoa_boko kwa adui.
 
Mngemsema Kwa mazuri ningelishangaa....Kwa mantiki hii inaonesha hofu mliyonayo kuhusu umadhubuti wake
 

Inawezekana ukawa na hoja za msingi, ila kuna uzi wako humu umeanzisha na una maudhui sawa na haya, ni kwanini usibaki kwenye uzi ule ule, ili uwe na muendelezo mzuri, kuliko kuanzisha nyuzi nyingi zenye maudhui karibia na sawa? Au unasaka sifa huku jukwaani nini boss?
 
Kuna sehemu humu nilisema Lissu is emotionally unstable, he is clouded by emotions.
He does and speak things without reasoning properly.

Leo #Lissu_katoa_boko kwa adui.
Mataga mnahangaika sana. Kwanza mwanaume ukijiita titi tayari ni lijinga
 
Kumbe kuna sheria imetungwa kwamba anayetangaza kuna corona Tanzania anakuwa kufanya kosa la jinai ama lile la siku zote la uchochezi...I didn't know...

Ila wenye mamlaka mkitumia kwamba hilo ni kosa mjue mmekwisha...kumbukeni WHO still inawatafutia agle nzuri kuwaadhibu...

Hivi mnajua tukinyimwa tu dawa za UKIMWI tumekwisha!! Je tuna uwezo wa kuzinunua kwa hela zetu wenyewe? kwa muda gani?

On other things we depend on these people..hawa ndiyo wanaongoza dunia...nuna ama usinune. Ulaya utabakia Ulaya na US itabakia US na huwezi kujitenga na hawa majamaa...Bali ni kujenga urafiki wa win win...aka diplomasia Imara.
 
Huyu Lissu kila siku ana kosa kubwa la kwanza. Kesho asubuhi hatakua na kosa lolote.
Wanaweza kumwengua kwa uhuni lakini si kwa kufuata sheria na kanuni za uchaguzi.

Lakini kwa kufanya hivyo watakuwa wamejiwekea doa jingine jipya mbele ya sura ya dunia.
 
KWANI LINI WIZARA YA AFYA IMETANGAZA CORONA IMEISHA??


KAMA HAMTAKI LISSU ASEME HAYO.... WAMBIENI WIZARA YA AFYA WATANGAZE KUA CORONA IMEISHA.


Kilichopo nikua, Kwasababu serikali ilisita kutoa takwimu, na wizara haijatangaza kama corona imeisha..

Sio tu Lissu, hata mimi hapa ,nikiulizwa nitakuambia CORONA IPO ,CHUKUA HATUA.


LISSU ANAPOWAZIDIA MATAGA NI UTUMIAJI WA AKILI..LISSU ANATUMIA AKILI KUBWA KTK KUONGEA, MATAGA WA LUMUMBA MNATUMIA MAKALIO KIFIKIRIA.
 
nikionacho mimi target ya upinzani ni Membe na sio Lissu... naona kabisa act na chadema wakishirikiana kwenye uchaguzi ujao... na kuweka mgombea mmoja... sababu ni nini..?? sijui... muda, utaongea ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…